Mjadala: Viongozi kutokuvaa barakoa,ni maelekezo ya Serikali?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,780
Eun6bOjXAAgVBsS.jpeg
Euuu1K2XcAII2e7.jpeg
EuuzUDBXMAIrsnN.jpeg
Euu1_-rWYAE3gmT.jpeg

Picha zinajieleza.
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu viongozi wetu. Kwenye matukio mengi wameonekana nyuso zao zikiwa uchi kabisa. Hawana barakoa. Wakiongozwa na Rais mwenyewe,mawaziri na wakuu wengine taasisi mbalimbali za umma.

Najiuliza ni maelekezo ya serikali? Ni bahati mbaya? Ni kumuunga mkono rais? Ni protokali?

Tujadili
 
barakoa wanazo kwenye mikoba na mifukoni, wanazivua wakiwa mbele ya magufuri. angalia huyu kavua alipomsogelea nyonya damu
1613916726916.png
 
Back
Top Bottom