Mkurugenzi Kinondoni Ukiendelea kutumika itakugharimu

kasolobela

Senior Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
107
Reaction score
121
Kitendo cha. Mkurugenzi wa Uchaguzi kinondoni kumika na ccm ni dhambi kubwa.
Amejitahidi Sana kuzuwia viapo vya Chadema, mpaka mabomu yamepigwa ndipo akatoa.
Kesho ukifanya lolote la kupindua matokeo utakiona cha Haramu kisivyoliwa.
 
inamaana hujui mkurugenzi ni kada,
anyways Dua la kuku halimpti mwewe
 
Kitendo cha. Mkurugenzi wa Uchaguzi kinondoni kumika na ccm ni dhambi kubwa.
Amejitahidi Sana kuzuwia viapo vya Chadema, mpaka mabomu yamepigwa ndipo akatoa.
Kesho ukifanya lolote la kupindua matokeo utakiona cha Haramu kisivyoliwa.

Wewe Kiswahili chako kinatia sana wasiwasi? Hivi Wewe ni Mtanzania mwenzetu kweli au ndiyo mmoja wa wale Mabaunsa mliokodiwa Gesti huko Uswahili mnaotokea nchini Kenya?
 
Back
Top Bottom