Kwa kilichotokea Morogoro, nimetambua kuwa duniani hakuna viumbe wanafiki kama Watanzania

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Saalam!

Kilichotokea Morogoro siku mbili zilizopita zimenipa uelewa Mpana juu ya kiumbe aitwae mtanzania.

Wakati anaingia bungeni kwa Mara ya Kwanza Abood, alijipangia yeye binafsi kutoa huduma ya maziko kwa Wana Morogoro, watu walifurahi, kushukuru na kumsifu mbunge wao.

Lakini hao hao wakati Rais anamshambulia Abood walishangilia kwa bidii zoteee! Nimetambua kiumbe kinachoitwa mtanzania siyo Cha kukiamini hata kidogo. Kiumbe huyo inatakiwa kuishi nacho kwa tahadhari kubwa sana

Ndugu Abood pole sana, naamini umejifunza, acha wafu wawazike wafu wao.
Fungia Basi zako.
 
Hiyo ndio gharama ya kufanya siasa mzee.

Wala sio unafiki, watanzania hatupendani tu. Magufuli kamwambia ukweli.

Hivi mtu anachukua viwanda, anapata Haiti miliki anaprocess loan kwa ajili ya kuvitengeneza, then from nowhere anaenda kununua magar ya biashara na kuendesha other trade business alaf anawaahidi maziko🤣🤣🤣?

Ingekuwa Mtz mweusi hill balaa lake asingefika hata kupata huo mkopo.

Same applies to Mo na wengine.

Watz sio wanafiki ni kwamba wanaogopa kusema watu wenye nguvu.

Hivi hapo Morogoro unaweza msema Abood kwel ukiabak salama?
 
Kizazi cha unafiki ulio kubuhu, hata jiwe ni mnafiki namba moja amekua aki mshambulia Abood kila awapo Morogoro. Lakini kwenye mchakato wa uchaguzi jina lake analipitisha kugombea.

Devota Minja dora ya jiwe ilifanya kila wanachoweza ili Abood arudi madarakani, lakini leo anajifanya kuhadaa uma.
 
Acha kujitoa ufahamu hata Kama maisha yako na kula kwako unahusumiwa na kijani.

Usiwasemee watanzania wote, semea familia yako tu, usifikili Watanzania wote ni wajinga na kula kulala kama wewe.

Ilishawahi kuona Dunia gani uchaguzi unakuwa hivyo? Hata Waganda hawakufanya uchafuzi wa namna hiyo.
 
Kizazi cha unafiki ulio kubuhu, hata jiwe ni mnafiki namba moja amekua aki mshambulia abood kila a wapo morogoro. Lakini kwenye mchakato wa uchaguzi jina lake analipitisha kugombea.

Devota minja dora ya jiwe ilifanya kila wanachoweza ili abood arudi madarakani, lakini leo anajifanya kuhadaa uma.
Uko sahihi kabisa mkuu, jiwe ni mnafiki namba moja, anamkandia Abood kuua viwanda, lakini wakati huo huo yeye kaua zao la korosho na biashara za watu kibao?
 
Back
Top Bottom