Lipumba asema Maalim Seif amewasaliti Wazanzibar na watanzania. Adai kuacha chama sio suluhisho

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Akiongea na DW Swahili mwenyekiti wa CUF kitendo Cha Maalim selif Shariff Hamad kuamia ACT Wazalendo Ni kuwasaliti Wazanzibar na wantazania kwa Ujumla kwa sio suluhisho la matatizo yaliyopo.

=====

Prof. Lipumba: CUF bado iko imara, Maalim Seif hana jema
Nchini Tanzania gumzo kuu lingali likiangazia hali ya kisiasa kuanzia uamuzi wa mahakama kuu kumtambua Prof. Ibrahim Lipumba kama mwenyekiti wa chama cha CUF Prof Ibarahim Lipumba ambaye anasema bado wako imara.

Prof. Lipumba: CUF bado iko imara, Maalim Seif hana jema | DW | 20.03.2019
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesele ni sawa na mwanamke aliyeomba talaka kwa chokochoko zake,haeishi kulalamika ukumtaka maalimu huyo umemuondoa kwa msaada wa ccm na msajili kwanini waweweseka si usubiri teuzi tu.Huna faida kwao Ccm watakutupa,ulishauriwa kaeni chini muyamalize ukusikia Leo mmegawana fito we baki na chama mwenzio kaondoka na wanachama,
 
kwahiyo alitaka abaki CUF ndio yeye na kile chama kingine kinchomsupport yeye Lipumba waendelee kumnyanyasa mzee wa watu tu. Muache akale zake kuku kwa mrija ACT.

Yule yupo sehemu sahihi kwa wakati huu na anadhaminika ili kutilia mkazo dhamani yake ACT wamempa kadi NO.1.
 
Akiongea na DW Swahili mwenyekiti wa CUF kitendo Cha Maalim selif Shariff Hamad kuamia ACT Wazalendo Ni kuwasaliti Wazanzibar na wantazania kwa Ujumla kwa sio suluhisho la matatizo yaliyopo.
View attachment 1049898

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hapaswi kabisa kusema maneno haya,maana muda si mrefu alisema kuwa maalim Sefu na wenzake inabidi wafukuzwe chamani.Sasa chakushangaza the same person analalamika ni kwanini maalim Sefu amehama chama! Heri kufa ukiwa umeacha fikra hai kuliko kuishi ukiwa na fikra zilizokufa.
 
kwahiyo alitaka abaki CUF ndio yeye na kile chama kingine kinchomsupport yeye Lipumba waendelee kumnyanyasa mzee wa watu tu. Muache akale zake kuku kwa mrija ACT.

Yule yupo sehemu sahihi kwa wakati huu na anadhaminika ili kutilia mkazo dhamani yake ACT wamempa kadi NO.1.
Nadhani labda zile drama zilikuwa zinamnufaisha Sana akajua jamaa ataendelea kufight Sasa imekuwa tofauti na matarajio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom