Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kuongea na Vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,670
218,172
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi.

Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley, hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa.

Wote Mnakaribishwa.

Angalizo: Usisahau kuvaa Barakoa

Zaidi: Mwamakula: Naweka mkakati upya ulioboreshwa zaidi kisha nitautangaza kwa Watanzania
 
Amina baba askofu. Shikilia hapo hapo! Usirudi nyuma baba. Jiwe amejigeuza kuwa Mungu wa watanzania wajinga.

Sasa tunqpowapata watu wenye akili kama wewe Mwamakula napata faraja Sana.

Mungu anakutumiq baba askofu kuyakomboa haya makapi ya binadamu yaliyojazana kwenye haka ka nchi kaitwako Tanzania.
 
halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha Rift Valley , hapo waulize nyumbani kwa Askofu Mwamakula wataonyeshwa


😆😆😆😆😆

watu wabadi unawauliza nyumbani kwa mtu mbadi
Na hapo Rift Valley Polisi ndio pa kuuliza
 
Back
Top Bottom