Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo...
BRIGEDIA JENERALI MBENA AFARIKI DUNI
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena amefariki dunia.
Taarifa ya Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano...
Vyombo vya habari vimekuwa vikimsifu Maalim Seif kama kiongozi alie pendwa sana na wazanzibari, kiongozi muadilifu na mwenye misimamo, kiongozi alie taka mabadiliko ya kisiasa Zanzibar na Uwongozi...
HOTUBA YA NDUGU ZITTO ZUBERI RUYAGWA KABWE, KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO WAKATI WA MAZIKO YA MAREHEMU SEIF SHARIFF HAMAD, MWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS...
Viongozi mbalimbali wako uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakiongozwa na waziri mkuu mh. Majaliwa.
Ndege iliyobeba mwili imeshawasili.
Tukio liko mubashara Channel ten na...
Mhe. Rais na Serikali ya JMT kwa ujumla wake nawasalimu nyote.
Ugonjwa huu wa UVIKO-19 ulipoanza mlipuko wake, ulikuja na dhana na imani tofauti tofauti(Various conspiracy theories).
Hali hii...
Baraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya...
Leo ni mazishi ya makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad na mwili umeshawasili msikiti wa Maamur kutoka Lugalo. Watu kadhaa wamefika ikiwemo kiongozi wa ACT, Zitto Kabwe...
Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.
Haya sasa hii Nyungu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kwa masikitiko makubwa kinatangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama, Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa, kilichotokea asubuhi, Jumatano, Februari 10...
Direct kwenye mada;
Kama kuna mtu ana dalili za Covid 19 apimwe na akiwa positive atengwe. Wasiachiwe ndugu kumtibu na kueneza ugonjwa zaidi.
Contact tracing ifanyike kubaini kama waliokuwa na...
Waziri wa zamani wa Katiba na Sheria, Balozi Bakari Mwapachu amefariki dunia leo alfajiri Ijumaa Februari 12, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu, amesema...
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Mchembe amesema kuanzia sasa wasemaji wa maswala ya afya ni RMO kwa level ya mkoa na DMO kwa level ya wilaya.
Prof Mchembe amesema waganga wa mikoa na wilaya...
Lindi mjini kila nyumba kila duka wananchi wanatozwa ushuru wa taka kumekuwa na utaratibu wa wananchi kutozwa ushuru kwa ajili ya usafi na utaratibu huo binafsi naona haujazingatia viwango kwani...
Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo...
Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula amesema anatafakari na kuweka mkakati upya ulioboreshwa zaidi kisha atautangaza kwa Watanzania.
Februari 15, 2021. Mwamakula alikamatwa na...
Hiki kitendo ni sawa na kuwanywesha sumu watumishi. Historia itakuhukumu tu.
========
Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu Juma amewataka wajumbe waliovaa barakoa katika kikao cha baraza la...
Huyu ndugu alikua mstari wa mbele kila wakati kusifia kwa kiwango cha juu sana kua haijawahi kutokea dunia nzima tumetokomeza ugonjwa wa Corona na Viongozi wa mataifa waje kwetu kujifunza...
Kwanza kabisa limewashtua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo wa utoaji taarifa ni Rais,Waziri Mkuu au Waziri wa Afya, kwanini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya Covid 19 hapa nchini...
Habari wana jamvi!
Hii habari ya Mh. Balozi Kijazi kupewe nafasi ya Katibu Mkuu nimeipokea kwa mikono 3...! Tafadhali, mwenye CV yake naomba aiweke hapa, tumjue kwa undani huyo kiongozi wetu...