Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,653
- 218,143
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile.
Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea umeme watu wote kwa gharama hata ya kuuza mifugo yao au sehemu ya mashamba yao ili kufidia .
Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea umeme watu wote kwa gharama hata ya kuuza mifugo yao au sehemu ya mashamba yao ili kufidia .