Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,087
- 6,568
Direct kwenye mada;
Kama kuna mtu ana dalili za Covid 19 apimwe na akiwa positive atengwe. Wasiachiwe ndugu kumtibu na kueneza ugonjwa zaidi.
Contact tracing ifanyike kubaini kama waliokuwa na muathirika nao wamepata maambukizi.
Kujitenga kufanyike kwa umakini hata kwenye majumba ya watu. Huku elimu kwa umma ikitiliwa mkazo. Maana elimu kwa umma ni muhimu.
Kunawa mikono,kutumia sanitizer kama hakuna maji na kuvaa barakoa iwe mandatory kwenye umma.
Muhimu pia kama ilivyokuwa mwaka jana kila wilaya itenge kituo maalumu cha matibabu.
Mwisho na muhimu kabisa ni kuanzisha tiba ya kisaikolojia kwa watanzania kupitia luninga kutoa watu hofu. Maombi na sara kwa nguvu kubwa. Tunaenda kushinda kwa nguvu ya Mungu.