BRIGEDIA JENERALI MBENA AFARIKI DUNI
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena amefariki dunia.
Taarifa ya Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Juma Nkangaa Issa Sipe jana kwa vyombo vya habari ilieleza jana kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo, anasikitika kutangaza kifo hicho kilichotokea Februari 13 mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Brigedia Jenerali Mbena aliaga dunia wakati akipata tiba katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam.
“Heshima za mwisho kwa marehemu zitatolewa Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo tarehe 16 Februari, 2021 kuanzia saa 3:00 asubuhi na kuzikwa siku hiyo hiyo katika makaburi ya Temeke Wailes jijini Dar es Salaam saa 9:00 alasiri. Marehemu ameacha mke na watoto.”ilieleza taarifa hiyo.
Zaidi, soma:

Tuepuke sumu hizi: Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena
Makala hiyo hapo chini ya Brigedia Jenerali Mstaafu Francis Mbenna katika gazeti la Jamhuri la tarehe 26 Julai 2016 imeweka nukuu kutoka kitabu changu, ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,''...
www.jamiiforums.com