AP: Tanzania’s COVID-denying leader urges prayer as cases climb

AP: Tanzania’s COVID-denying leader urges prayer as cases climb

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,765
NAIROBI, Kenya (AP) — Tanzania’s COVID-denying president is calling on citizens for three days of prayer to defeat unnamed “respiratory diseases” amid warnings that the country is seeing a deadly resurgence in infections.

“Maybe we have wronged God somewhere,” populist President John Magufuli told mourners at a funeral for his chief secretary, John Kijazi, on Friday. “Let us all repent.”

Magufuli has repeatedly claimed that Tanzania, a country of some 60 million people, defeated COVID-19 with God’s help. The government has not updated its number of coronavirus cases since April, and the health ministry has promoted unproven herbal remedies. Magufuli has questioned COVID-19 vaccines without offering evidence.

But the local Catholic church, the U.S. Embassy and others have openly warned of a resurgence in cases. And this week the death of the vice president of the semi-autonomous island region of Zanzibar, Seif Sharif Hamad, brought widespread attention after his opposition political party said he had COVID-19.

Hamad’s death is “a clear symbol this pandemic is raging,“ the director of the Africa Centers for Disease Control and Prevention, John Nkengasong, told reporters on Thursday.

Speaking about the deaths of Hamad and Kijazi, Tanzania’s president asked the country to remain calm.

“We managed to defeat these respiratory diseases through prayer last year. I am sure we will do so this year,” he said in the nationally televised event.

Magufuli also announced that Finance Minister Philip Mpango had been admitted to a hospital in the capital, Dodoma. He did not say why.

Source: Tanzania's COVID-denying leader urges prayer as cases climb
 
Suala la maombi na ualisia wa kisayansi unatuchanganya, Mungu ametupa uwezo wa kukabiliana na mazingira yetu, sijui nini kinatufanya kumlilia akiwa ametupa maarifa!
“Maybe we have wronged God somewhere,” populist President John Magufuli told mourners at a funeral for his chief secretary, John Kijazi, on Friday. “Let us all repent.”[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Magufuli anafail sana kwenye hili. Kumuomba Mungu sawa lakini alipaswa pia kuwatoa hofu wananchi na kuwaeleza nini Wizara ya Afya ipo inafanya kukabiliana na hii hali.

Kupropagate maombi pekee bila kufanya yale yaliyo ndani ya uwezo wetu ni upotofu na ukosefu wa maarifa.
 
Magufuli anafail sana kwenye hili. Kumuomba Mungu sawa lakini alipaswa pia kuwatoa hofu wananchi na kuwaeleza nini Wizara ya Afya ipo inafanya kukabiliana na hii hali.

Kupropagate maombi pekee bila kufanya yale yaliyo ndani ya uwezo wetu ni upotofubna ukosefu wa maarifa.
“Mwamini Mungu, lakini mfunge vizuri Ngamia wako”-Mtume Muhammad S.A.W

Mungu huwa halipi maombi bali hulipa jitihada!Kupiga maombi wakati hakuna mipango pamoja na hatua(Actions) sahihi,stahiki na madhubuti za kupambana na Corona ni kumkejeli Mungu.
 
Mr President must lead all Tanzania Citizens to abide WHO's recommended ways for prevension of the a.k.a Respiratory problems in the Country.

Otherwise we don't opposes any kind of prayers but we need to prevent the further spread of pandemic.
 
anyway, tutafika tuu, wanaopaswa kuongoza maombi ni waoga.
Mungu huwa halipi maombi bali huwa analipa jitihada.Maombi bila mipango pamoja na hatua sahihi,stahiki na madhubuti za kupambana na Corona ni kumkejeli Mungu.Hao wanaopaswa kuongoza maombi wanayajua yote haya.Mtu yoyote yule anaeng'ang'ania maombi badala ya kung'ang'ania jitihada ni mbumbumbu!
 
Yakobo 2:14: Imani bila matendo ni sawa na bure..
Mh.anapenda aonekane kuwa ni mcha Mungu ilhali anatafsiri maandiko kinyume nyume na kuwapotosha hadi viongozi wa dini.
Mungu aliwashushia wana wa Israel mana jangwani,tuombe kushushiwa hiyo mana huku tukiwa na ardhi ya kulima mazao na kujipatia chakula?Tusimdhihaki Mungu.
 
Mungu huwa halipi maombi bali huwa analipa jitihada.Maombi bila mipango pamoja na hatua sahihi,stahiki na madhubuti za kupambana na Corona ni kumkejeli Mungu.Hao wanaopaswa kuongoza maombi wanayajua yote haya.Mtu yoyote yule anaeng'ang'ania maombi badala ya kung'ang'ania jitihada ni mbumbumbu!
hivi kupiga nyungu, kutengeneza traditional medics sio jitihada? tatizo la watanzania na waafrica kwa ujumla tupo bound sana na conventional alternatives...
 
Kupiga nyungu imejaribiwa wapi na lini ikaonyesha mafanikio?Na hayo mafanikio yalikuwa ni asilimia ngapi?
Kafanye tafiti then ulete matokeo ya utafiti wako, nadhani itakuwa njia rahisi ya kujijibu maswali yako.
 
Kupiga nyungu imejaribiwa wapi na lini ikaonyesha mafanikio?Na hayo mafanikio yalikuwa ni asilimia ngapi?
mkuu tusibishane sana cha msingi kile mtu achukue taadhari kwa namna atayoona inafaa. Na wanaosubiri rais aseme wachukue tahadhari nao wacha waendelee kusubiri...
 
Mungu huwa halipi maombi bali huwa analipa jitihada.Maombi bila mipango pamoja na hatua sahihi,stahiki na madhubuti za kupambana na Corona ni kumkejeli Mungu.Hao wanaopaswa kuongoza maombi wanayajua yote haya.Mtu yoyote yule anaeng'ang'ania maombi badala ya kung'ang'ania jitihada ni mbumbumbu!
Wangapi hufanya jitihada kwa ukamilifu wake ila hawafanikishi katika hicho wanachokifanyia jitihada kwa maana wanachokitaka? jitihada ingekuwa ndio kila kitu basi watu wengi wangafanikiwa.
 
Back
Top Bottom