Oman yapiga Marufuku abiria yeyote kutoka Tanzania asikanyage kwao

KooZito

JF-Expert Member
Dec 14, 2020
396
1,377
Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo.

Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana.

Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious kupambana na janga la Corona kama mataifa mengine.

Chanzo: BBC
 
Dunia nzima sasa inatuona Tanzania kama "NUKSI a.k.a MWAJUMA NDALA NDEFU". Mataifa yote duniani huko yanatu "NG'ONG'A NA KUTUSENGENYA".

Juzi African Union ilitoa tamko kwamba Tanzania tujichunge, tunahatarisha bara zima la Africa kwa ukaidi wetu wa kuchukua tahadhari dhidi ya hili janga la Covid-19.
 
Kitendo cha kuruhusu kichwa kimoja kisichokubali hata kushauriwa kufanya maamuzi kwa niaba ya vichwa ml.60 kitaiweka Bongo kwenye mazingira magumu sana na mpaka kufikia hatua ya kugundua hili tunaweza tukawa totally isolated from the world. Jumuiya ya kimataifa inaona hatupo serious kabisa
 
JF bwana, zamani ndiyo ilikuwa chanzo changu pekee cha habari.

Mleta mada amaeishiwa wino wa kuandika nchi nyingine ambazo pamoja na Tanzania watu wake wamezuiwa kuingia Oman.
Aibu yako mleta mada!

Nikumbushe jambo moja Alexander The Great kuwenye mwili wako kuna kitu kinaitwa "subconscious mind" kwa kiswahili wanaita mawazo ya kina....sehemu ambapo vitu vyote vinafanyika bila utashi wako mfano kkupiga kope, kupumua, mapigo ya moyo, nk kuna kitu unaongeza ambacho kitakuwa kinafanyika bila utashi wako....yaani umekitengeneza au kwa kujua au bila kujua na kitakuwa kinafanyika automatically bila utashi wako maana "subconscious mind" huwa hajali unaigiza au unatania....yaani hata ikitokea fursa ya kukunufaisha kale ka element ka KUPOTOSHA mambo katakuwa kanajirudia bila wewe kujua....!
 
Dunia nzima sasa inatuona Tanzania kama "NUKSI a.k.a MWAJUMA NDALA NDEFU".

Juzi African Union ilitoa tamko kwamba Tanzania tujichunge, tunahatarisha bara zima la Africa kwa ukaidi wetu wa kuchukua tahadhari dhidi ya hili janga la Covid-19.

Yaan wew jamaa sijui mzalamo?
Sijui unakula mmea
Mwanangu unaonekana mchesh mweny masikhara sana
By the way me ni followers wako mzee
 
Watetezi watakuja punde waseme “kwanza hatupo peke yetu by the way, zipo Nchi 10”

Kuna watu siku zote hutafuta namna ya kutetea tuuuu na hawaangalii picha kubwa
Mleta mada kaona akiandika nchi moja tu habari yake haitakuwa ya KUTISHA SANA ambapo ndio huwa lengo safi kwa wengine......"wajaze woga na Kisha Watawale!
 
Wamesemaje hao mabeberu??
JamiiForums424888426.jpg
 
Mimi huwa nawaita watu aina ya mleta mada ni wapumbavu ila mods huwa wanakimbilia kitufe cha ban!

Katika nchi hizo Kuna South Afrika, Ghana, nk na wamefanya hivyo kwa muda wa siku 12, lakini kwa kuwa mleta mada ana ujinga wake kichwani akaona aandike alivyoandika.

Wakati mwingine ukiona Melo na JF wanapata misuko suko sababu ni ni upumbavu wa aina ya mleta mada.
 
Watetezi watakuja punde waseme “kwanza hatupo peke yetu by the way, zipo Nchi 10”

Kuna watu siku zote hutafuta namna ya kutetea tuuuu na hawaangalii picha kubwa
Kwahiyo hayo mataifa nayo hayafuati kanuni za WHO kam tz?

Bavicha hili suala la corona hakitawafikisha popote. Muulizeni Mbowe mwaka jana baada ya kujaribu ili ajipatia kiki akaishia kutimuana chamani
 
Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo.

Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana.

Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious kupambana na janga la Corona kama mataifa mengine.

Chanzo: BBC
We call it silent economical war
 
Kitendo cha kuruhusu kichwa kimoja kisichokubali hata kushauriwa kufanya maamuzi kwa niaba ya vichwa ml.60 kitaiweka Bongo kwenye mazingira magumu sana na mpaka kufikia hatua ya kugundua hili tunaweza tukawa totally isolated from the world. Jumuiya ya kimataifa inaona hatupo serious kabisa
Vipi Ghana na SA nao? Maana wamo kwenye hiyo orodha
 
Kitendo cha kuruhusu kichwa kimoja kisichokubali hata kushauriwa kufanya maamuzi kwa niaba ya vichwa ml.60 kitaiweka Bongo kwenye mazingira magumu sana na mpaka kufikia hatua ya kugundua hili tunaweza tukawa totally isolated from the world. Jumuiya ya kimataifa inaona hatupo serious kabisa
Viongozi kichwa maji wote duniani wanapaswa kutawala awamu moja tu, mfano Trump...tatizo huku kwetu ni demokrasia ndo ishu ila nasi tungeshafanya yetu!.
 
Kwahiyo hayo mataifa nayo hayafuati kanuni za WHO kam tz?

Bavicha hili suala la corona hakitawafikisha popote. Muulizeni Mbowe mwaka jana baada ya kujaribu ili ajipatia kiki akaishia kutimuana chamani
Kila anayeandika usichokipenda wewe tayari anakuwa BAVICHA? Kwamba ukiwa TAGA huwezi kufikiri tofauti? Try to act as if you are a GT for once

Sisi tunaongelea Nchi yetu. SSudan, Guinea, Nigeria and the rest is none of our business. Kwanza Oman hawajasema kuwa wanatuzuia kwa kuwa hatufuati kanuni za WHO. Wao wanasema uamuzi wao ni “wa kupambana na maambukizi ya corona”
 
Back
Top Bottom