Hivi hawa viongozi wetu wataanza lini kutekeleza majukumu yao badala ya kila siku kutoa maonyo ya kila aina kana kwamba watu wanawasikiliza. Mara "Rais kaonya hiki ama kile", mara "Waziri Mkuu...
Waliojitokeza mapema kabisa kutia nia ni pamoja na Kamanda Elizabeth Mwakipesile ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Bawacha wa Mkoa wa Mbeya, Huyu yeye ametia nia kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti...
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora...
Wanabodi tuwe tunaweka kumbukumbu pamoja na kusoma "between the lines" anapoandika mtu uzi wake. Tuongeze uwezo wa kutafakari na kudadisi ili kupata faida kuepuka ramli.
Siku za hivi karibuni...
Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Andrew Mollel ambaye alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni mbalimbali mkoani Arusha amefariki dunia na kuibua simanzi kwa wakazi wengi wa jiji hilo...
Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA.
Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio...
Msemaji wa Serikali, Dkt. Abbasi amewataka wahariri na waandishi nchini kuenzi misingi ya weledi na uzalendo katika kazi zao ikiwemo kufanya utafiti kwanza kuliko "kufakamia" mawazo na maoni ya...
Wanabodi, Leo ndio nimeamini Kiswahili ni muhimu sana kuliko hizi lugha za kigeni, Watu wameshindwa kuelewa haya maneno ya kiingereza yanatumika kwa kupishana (Interchangeable) na yana maana moja...
Wasifu wa Dakta Bashiru kwa hisani ya gazeti la Mwananchi.
=====
Huyu ndiye Dk Bashiru Ally
Dar es Salaam. Miongoni mwa mambo yaliyoibua mjadala ni uteuzi wa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM, Dk...
Mabibi na mabwana kama ilivyo katika somo hapo juu, huo ndiyo ulio ukweli mchungu. Kwamba tupo hapa leo, kimungu mungu tu. Kweri?
No! It shouldn't be!
Anasema Prof. Bisanda, heshima kwake...
Ndugu wana JF humu ndio mahala pa kuhoji kila jambo linalotuhusu. Je, serikali awamu ya tano imekamilisha kutatua kero zetu?
Alipoingia madarakani rais Magufuli alianza kwa kasi ya kutumbua wote...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemuapisha Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Othman Masoud Othman Sharif kutoka...
Baraza la wanawake wa Chadema (BAWACHA) , limetangaza rasmi kuanza mchakato wa kujaza nafasi za Wasaliti waliotimuliwa ndani ya Chama wakiongozwa na Halima Mdee.
Fomu za Kugombea nafasi hizo za...
Rasimu ya katiba ya Jaji Warioba katiba ibara ya 54 imependekeza kuwa mahakama au chombo cha maamuzi kufanya maamuzi kwa kuzingatia haki na usawa na uhuru wa mtu binafsi
Sheria za kimataifa...
Serikali kupitia Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo (EP4R) itapeleka Shilingi bilioni 137 katika Halmashauri zote nchini kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari mwaka...
UFAHAMU MRADI WA STRIEGLER'S GORGE NA MAONO YA SERIKALI.
Na Elius Ndabila
0768239284
Ikumbukwe kuwa mwaka juzi nilishawahi kuandika makala ndefu juu ya mradi mkubwa huu wa kuzalisha Umeme wa...
Habari za kuaminika hivi punde ni kuwa Othman Masoud, aliyekuwa AG amekataa katakata kwenda kwenye sherehe ya kukabidhiwa rasimu Rais Kikwete na Shein leo viwanja vya Ikulu.
Ujumbe mzito...
Hii ni conspiracy theory yangu na uwezekano wake kuwa kweli ni mdogo. Ina hypothesis mbili:
Hypothesisi 1: Kamanda Sirro kwa niaba ya system iliyojeruika anamuongoza Makonda kwenda kujizika na...
Katibu Mkuu,
Chama Cha Mapinduzi ,
S.L.P 50,
Dodoma.
15/07/2020.
Ndugu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, (Dkt) Bashiru Ally,
*
YAH: NDUGU PAUL MAKONDA KUVUNJA KANUNI NA SHERIA ZA UCHAGUZI...
SHIGONGO APANIA KUJENGA BUCHOSA MPYA.
MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametembelea miradi ya maendeleo katika Kata ya Bulyeheke na kuongea na wananchi wa kata hiyo kwenye mkutano wa...