Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Kuna kipindi Watanzania walijenga kasumba mbaya sana. Kwamba kila mradi wa serikali ukifanyika lazima watu wapige dili na kisha wao kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari.
Awamu hii mambo yamebadilika maana pesa ya serikali inatolewa macho na mtu huwezi kuidokoa hovyo hovyo.
Leo hii tunashudia mil 700+ zilizotolewa na Mh rais wa JMT kujenga majengo ya utawala na mabweni kwa ajili ya maafisa pale DPA ikikamilika ndani ya mwaka mmoja.
Ikumbukwe majengo yaliyotumika yalikuwa yameachwa na mkoloni tangu mwaka 1958. Leo hii ndani ya mwaka mmoja yanapatina majengo mapya ya kiwango cha kisasa kabisa.
My take; Je, mliosema kuwa hii nchi sio barabara na JPM haiwezi kuiyoosha hamuoni aibu? Maana imenyooshwa vizuri tu japokuwa kuna vikwazo kidogo.