Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,194
- 4,112
Rais Magufuli ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa amesikitishwa na kifo cha Jaji Mstaafu Harold Nsekela.
"Nimesikitishwa na kifo cha Kamishna wa Maadili, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Harold Nsekela. Poleni familia, watumishi wote wa Sekretarieti ya Maadili na Mahakama. Jaji Mstaafu Nsekela alikuwa mwadilifu, mzalendo, asiyejikweza na mchapakazi. Mungu amweke mahali pema, Amina".
Jaji mstaafu, Harold Nsekela enzi za uhai wake