Yuko wapi Kebwe Steven Kebwe?

Yuko wapi Kebwe Steven Kebwe?

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,415
Wasalaam wakuu,

Nimemkumbuka tu huyu kiongozi aliyekuwa RC wa Morogoro hasa kwa alivyolalama vile alivyovuliwa uRC ilikuwa ni kama maisha yake yalikuwa yashindwe kwenda.
 
Utakuwa umemchanganya na yule mzee wa nimekosa mimi! Mh. Rajabu.
Naye alikuwa Rc wa Moro? Nakumbuka alilia kweli, nkiwaza na hii corona sijui atakuwa wapi asee [emoji16]
 
Dr rajabu rutengwe

Kusema ukweli huyu mzee alitia aibu na kuidhalilisha phd yake....maana alilia kwa uchungu sana.......lkn hawa wakisimama majukwaani utasikia vijana mjiajiri vijana mjiajiri wanadhani kazi rahisi kujiajiri huku huna mtaji.

Kama yule wa nina degree nne sikutegemea kwa umri wake kama angeenda tena kuomba kura kwa wajumbe,nilitegemea anakwenda kujiari ila nashukuru wajumbe wakafanya kazi yao...
 
Kusema ukweli huyu mzee alitia aibu na kuidhalilisha phd yake, maana alilia kwa uchungu sana lakini hawa wakisimama majukwaani utasikia vijana mjiajiri vijana mjiajiri wanadhani kazi rahisi kujiajiri huku huna mtaji...
Dah! Haya maisha bwana yaache tu.
 
Back
Top Bottom