Kila mtu anajua kilichowakuta waliokuwa wachimbaji wa madini huko Morogoro. Mauti iliwakuta pasipokuwa na hatia.
Sauti zikapazwa kupinga uonevu uliofanyika. Polisi wakasema walikuwa ni majambazi...
Rais wa Zanzibar leo ametangaza rasmi kuwa Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa korona na ametaka taadhari za lazima sasa zichukuliwe.
Kauli hii ni ya kwanza kutolewa na kiongozi wa juu wa serikali...
Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali.
Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na...
Naibu waziri wa Afya, maendeleo ya jamii jinsia na watoto, ametangaza kusimamishwa kazi kwa watumishi watatu wa Halmashuri ya wilaya ya Ngara, ikiwa ni pamoja na mganga mkuu wa wilaya hiyo kwa...
Mbunge wa Same Magharibi Mh David Mathayo amekabidhi magari ya wagonjwa kwa kila kata katika jimbo lake.
Mathayo amesema magari hayo imara sana ameyanunua yeye mwenyewe ili kuwasaidia wapiga kura...
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi imepiga marufuku baa zinazouza mbege kufunguliwa pamoja na kupika chakula kwenye misiba.
Katazo hilo limetolewa leo Ijumaa Machi 5, 2021 na mwenyekiti wa...
Msemaji mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbas ametoa onyo kwa vyombo vya habari na watu binafsi kutoa taarifa za maradhi, vifo au wagonjwa bila kuzingatia misingi ya utoaji wa taarifa kwa...
DC Jerry Muro ni DC kijana na mchapa kazi kwani katika wilaya yake anewezesha uanzishwaji wa Shule ya mchepuo wa kingereza yaani English Medium.
Katika mkoa wa Arusha kuliwahi kuwa na Shule ya...
Nakumbuka marais hawa wawili waliwahi kuzungumza kwa simu hata kabla ya uchaguzi wa mwaka jana 2020 .Rais Magufuli alisema amezungungumza na Rais mwenzake wa Kenya mh Kenyatta na kuweka mambo sawa...
Kila baada ya uchaguzi mkuu imekuwa ni jambo la kawaida kusikia wapinzani wa wakilalamika kuwa wameibiwa kura. Jambo ambalo W anaCCM huwa wanakanusha. Lakini hiki kilio cha wizi wa kura ni cha...
Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. teyari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua nchini mwao kwa GULF air majuzi.
Nchi zingine zimeenda...
Namshukuru M/Mungu , kwa kutupa utulivu na amani, mhe ris mwinyi , uchaguzi umekwisha na umefanikiwa kuanzisha furaha na upendo uliokuwa umeanza kutoweka hususani mara baada ya...
Ni kweli watanzania wanataka maendeleo, hata kinachofanyika sasa kuendeleza miundo mbinu, sekta za afya na elimu ni muhimu.
Ni kweli kabisa haya maendeleo ya kujenga Ma SGR, flyovers na madaraja...
Hivi karibuni kumekuwa na matamko mfano hatujapewa taarifa kwamba kwenda kuhiji ni lazima mahujaji wawe wamechanjwa chanjo ya Corona AU hatujapewa taarifa toka Kenya kwamba mahindi toka Tanzania...
Siku100 za KISHINDO kuanzia Tarehe 15 - 30 Machi, 2021 za wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Taasisi zake chini ya Waziri Dkt. Faustine Ndugulile.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dr Mghwira amewatataka TRA kuacha kukusanya kodi kama polisi bali wazingatie dhana ya Huduma kwa mteja ( Customer Care) yaani kumjali mteja.
Mghwira amesema...
MGODI wa Buzwagi ulioko Kahama mkoani Shinyanga, unatarajia kufunga shughuli za uzalishaji wa madini Juni, mwaka huu.
Meneja wa Ufungaji wa Mgodi na Mazingira wa mgodi huo, Rebecca Stephen...
Wagalatia 6:7
"Msidanganyike Mungu hadhiakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna"
Kuna wengine wameshavuna, wengine wanavuna, wengine watavuna.
Lakini mavuno ya jumla ni siku ya Hukumu.
Kuwa...
Salaam Wana JF.
Nianze andiko hili kwa kurejea usemi huu usemao "Africa consumes what it does not produce and produces what it does not consume" Kuna mantiki pana juu ya usemi huu na...