mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana jf
Wengi mnaweza msilione hili lakini mbinu chafu zinazotumiwa Hawa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata faida kubwa huku mdoro wa Kasi ya maendeleo ikikwamishwa makusudi. Umoja wa wafanyabiashara wenye viwanda vinavyozalisha vifaa au vitu vya matumizi ya lazima wamekuwa wakipanga Kwa pamoja kuzalisha bidhaa chache ili kutengeneza mazingira ya kuadimika kusudio vitu viwe Bei juu.
Mfano wazalisha sukari, saruji, gypsam board, nondo wote Lao moja wanapanga idadi ya mahitaji. Viwanda vimewekwa kusaidia maendeleo na uchumi wa ndani lakini viwanda vinaendeshwa kihuni. Vilevile hata tanesco inaendeshwa kihuni aliyetunga neno LUKU alikuwa na mtazamo wa kinyonyaji ukitumia unit nyingi ndio unaongezewa mzigo badala mteja akitumia unit nyingi apate punguzo kwani ndio mdau mkubwa.
Viwanda vingi vimekuwa na malalamiko ya kiuuendeshaji wakituhumu TANESCO kuwalipisha fedha nyingi kiasi kwamba wanashindwa kupata faida hivyo hasara kuigeuzia Kwa walaji wa mwisho ambao ni makabwela.