Mhandisi Robert Kabudi mwenye miaka 20 ya kusimamia miradi mikubwa ya ujenzi nje ya Tanzania pamoja na wahandisi wengine mahiri wazalendo wapo ktk mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Rufiji linatotegemewa kuzalisha 2115 MW wa umeme Tanzania. Mhandisi Robert anaitaja timu hiyo ya watu 21, kikosi anacho kibainisha kama timu ya kutizamwa duniani.
Timu hiyo ya wahandisi wa kiTanzania walio na ujuzikazi kwa vitendo, kuna mhandisi aliyepata kusimamia mradi wa kiwanja cha ndege cha Dubai kilichokuwa na bajeti ya zaidi ya US$ 3.5Bn. Miradi mikubwa ya Qatar, Abu Dhabi, Botswana , World Cup Africa Kusini wachezaji wake waTanzania wazalendo walishiriki ktk ujenzi huko ughaibuni.
Wahandisi hao chini ya kitengo cha Tanroads Engineering Consultanting Unit TECU wana kiu ya kuongeza CV zao ktk mradi huu wa Rufiji wenye bajeti kubwa kuliko iliyotumika ktk ujenzi wa Uwanja Mkubwa Mpya wa Ndege Dubai na hivyo si tu kuitambulusha Tanzania bali hata wahandisi wazalendo kwa ulimwengu kukitokea mradi wowote mkubwa nje ya Tanzania.