Kuhusu kikao cha bajeti ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, nashauri bajeti ielekezwe kwenye huduma za jamii badala ya kununua Grader

Dec 7, 2020
10
1
Hakuna Sababu ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kutenga Budget kubwa ya kununua Grader ikiwa kuna Maeneo Ndani ya Manispaa ya Morogoro kuna uhitaji wa Maboresho ya zahanati, Madarasa na madawati, na pamoja na miundombinu mingine ikiwa ni pamoja na Maboma ya shule za sekondari, kuna huduma za jamii Direct kama ilivyo sawa na Matakwa na Kiu ya Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Kama kuna uhitaji wa Grader katika Manispaa, ikumbukwe kuna Tarura na Tanroads hawa wana hivi vifaa na vyote vinahudumia na kutoa mahitaji yaleyale yanayokusudiwa na Halmashauri ya kununua Grader.

Hivyo nashauri Budget hii ielekezwe kwenye ujenzi wa Zahanati, Umaliziaji wa Maboma ya shule za sekondari na Huduma za jamii.

Direct.

JPEG_20210311_134317_5420593548267330996.jpg
JPEG_20210311_134354_882587542224274345.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom