Kwanini Serikali inatumia nguvu nyingi sana kutangaza kile wanachoita mafanikio(tunatekeleza)? Au kinyume chake ndo sahihi?

Ikitotanzira

Member
Joined
Feb 12, 2019
Messages
24
Points
100

Ikitotanzira

Member
Joined Feb 12, 2019
24 100
Kipindi cha jk sikuwahi kusikia majigambo mengi sana na sidhani kama hiki cheo cha msemaji mkuu wa serikali kilikuwepo kama kilikuwepo basi very strategic na scienrific siyo hili lijamaa la leo.

Yaani hata wakizindua choo lazima wasema tumetekeleza. Sijawahi kuona serikali ya ajabu kama hii tangu tupate uhuru kwa kweli ni vituko kwa kwenda mbele.
Mafanikio huwa yanajieleza yenyewe siyo kubwabwaja wakati hamna lolote bali miradi ya jk tu.

Biashara zinafungwa kila siku lakini hawasmi tunatekeleza bali ka single unit tu ndo wanaibuka.
Kipindi cha jk ajira zilimwagwa kama njugu hususani ualimu na udaktari ukimaliza chuo tu ajira ajira ipo mkononi labda uache mwenyewe ila jk hakuwahi kujigamba hata siku moja.
Leo hii ajira hata za ualimu imekuwa issue ukimaliza hamna ajira tena bali wanataka wakafungue vyoo tu au stand waonekane kwenye matv maana ajira hawatazindua chochote.
Hii serikali ni full maigizo tu wenyeqe hali ya maisha ya watu hawaangalii kabisa mana haqatapata cha kujinadi kwenye tv.

Watu anajirusha kwenye magorofa kila siku kisa frustrations za maisha ajira hamna hata sector binafsi zinaisha na ukijaribu kujiajiri basi biashara ngumu unafunga bila kupenda.

Nguvu inatumika kubwa sana wakati mambo ni tofauti kabisa. Ee mungu mrestishe in piece huyu jamaa ili maisha yawe nafuu
 

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
655
Points
1,000

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
655 1,000
Na hayo yanayotangazwa yanaonekana kama ni fadhila au huruma ya serikali na sio wajibu wa serikali. Ni sawa na mzazi kutangaza kwamba amemnunulia mwanae sare za shule akiwa bar.
 

Forum statistics

Threads 1,379,012
Members 525,278
Posts 33,731,526
Top