Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
Kwa kuwa JF ilianzishwa kwa minajili ya kuelimishana, kuhabarishana na kufundishana, mimi leo nawaletea neno moja muhimu sana.
Haiti ni nchi yenye historia ndefu na unaweza kusema tunafanana kwa mengi. Mfano mmoja ni jinsi ilivyowahi kuwa mstari wa mbele katika kusaidia uhuru wa nchi nyingi hasa za huko Latin America. Nadhani kuna miaka hata ilikubaliwa kuwa member wa AU pamoja na kwamba haipo hata bara la Africa.
Hata hivyo vilevile ni nchi ambayo kwa bahati mbaya sana imepata matatizo mengi kwa miaka mingi ya kiuongozi. Mengi yamesemwa na yanaendelea kusemwa kuhusu Haiti. Hii siyo mada yangu ya leo.
Mada yangu inamuhumu mtu mmoja aliyewahi kuwa Rais wao anaitwa 'Papa Doc' Duvalier.
Sijui nini kimenishurutisha kuja kuwasihi mfuatilie angalau kidogo kuhusu hii historia. Gugo tu 'Papa Doc' na pakua mambo mawili matatu kuhusu huyu mtu, yatakusaidia sana!
Kwa kuanzia unaweza kucheki link hii
https://www.historyanswers.co.uk/pe...lier-the-voodoo-president-who-killed-kennedy/
Lugha iliyotumika inaweza kuwa ngumu kidogo kwa baadhi ya watu ila ningependa sana sana kila mmoja wetu afanye juhudi binafsi katika hili.
Ni hayo tu.