Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,886
Mbona ana mume bandugu?Hili gazeti haliwezi kufuatilia na kujua mpaka likauliza hivi?
Anaitwa Bwana Hafidh Ameir,hata siku ile ya kampeni ktk mkutano mkubwa kwenye uwanja wa Demokrasia Znz(alitambulishwa)
Kama sio mtu wa kukaa mbele ya camera si ajabu,maana hawezi kuwa anaenda kila mkewe anapokwenda!!