johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,897
- 141,831
Mbunge wa Kawe mh askofu Gwajima amesema siasa isiyomsaidia mwananchi wa kawaida na kumuachia ufukara haina maana yoyote na amewataka wanasiasa kuwatendea haki wananchi.
Gwajima alikuwa akihojiwa na waandishi wa habari katika sherehe za maazimisho ya miaka 44 ya kuzaliwa CCM Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.
Gwajima ameitaka CCM na vyama vingine vya siasa kuwaletea maendeleo ya kweli watanzania.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!