Ndugu Wilson Kabwe, aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar na baadae kusimamishwa kazi mwanzoni mwa mwezi Mei, amefariki dunia.
Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la...
MJADALA KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI ZETU!
Nimeamua kufungua mjadala huu ninaoamini ni muhimu kwa lengo la kuelimishana kuhusu Sheria na Katiba za nchi mbalimbali!
Mjadala huu utaenda kwa njia...
Tulifika mimi na wenzangu kadhaa wa kazini. watu walikuwa wengi hasa viongozi waliopo madarakani na pia wastaafu. Kabla sijaingia umatini nilipata muda mzuri wa kusimama nje kuangalia wageni...
Wana Jf
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati.
Ninaposema Dr. Magufuri ni Nabii wa Africa aliyetumwa kuikomboa Africa mara ya pili...
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi!
Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya...
Kuna mijadala ya chini kwa chini kutoka Tanzania bara ,kuwa sasa ni zamu ya Zanzibar kujengwa iwe kama Dubai
Marais wawili kutoka Zanzibar kwenye jamhuri moja washindwe wenyewe kuijenga Zanzibar...
HAS TLS MADE A WRONG INTERPRETATION OF TANZANIA CONSTITUTION.
Edson Kilatu, Adv.( LLM Const& Adm. Law)
Tanganyika Law Society has issues a guideline pertaining the transition of power following...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, kwa uchaguzi wa 2020, kwa mujibu wa utaratibu wao CCM, tayari tunaye mgombea wa urais ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Swali la kujiuliza kwa huu upinzani...
Zitto aibua mazito ripoti ya CAG
• Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’
• Serikali hoi kwa madeni
• Aifananisha na mchana
• Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT
SERIKALI ya Tanzania imevunja Katiba kwa...
Kama tunavyojua mazingira ni jambo muhimu sana kwetu na kwa vizazi vyetu vya baadae na ni jukumu letu sote kulinda na kupigania utunzaji wa mazingira.Lakini kuna baadhi ya watu wacheche wasio na...
Nianze kwaa kumpongeza sana mheshimiwa Rais kwa kuwa mkweli na kuishi ukweli... Hakika hatatokea Rais mwenye hulka isiyo na mawaa ya kisiasa.
Kabla ya kuwaza kuwa mwanasiasa mkuu wa nchi hii...
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali...
Hili ni swali kwa wawakilishi wa wananchi na wananchi ili tuende sawa.
1. Kuna mkoa haujajengewa hospitali au kituo cha afya?
2. Kuna mkoa hauna mradi wa maji?
3. Kuna mkoa hauna mradi wa...
Chama cha wanasheria nchini TLS kinafanya uchaguzi wake mwaka 2021 baada ya kutofanyika 2020 kutokana na wimbi la Covid-19 phase 1.
Uchaguzi huo utakaofanyika jijini Arusha {Jiji lililochukiwa...
Nimesoma Bandiko moja la Mheshimiwa Kigwangala nikashindwa kabisa kuelewa anataka kuwaelezea nini Watanzania kati ya Tanzania hii aliyoiacha Hayati Magufuli na ile ya Kipindi cha Hayati Nyerere...
1. Acha Kuwaamini kwa 100% wale Watu wanaojifanya ni wa karibu Kwako.
2. Tumia ID iliyo anonymous na siyo ile ambayo inakutambulisha Kiuhalisi na wengi wanaijua.
3. Acha kupenda hovyo Wanawake...
Ilikuwa nikishika simu yangu nilipata mambo mengi ya kuelezea ukuu wako. Ulifanya kile kilichostahili kufanyika na mengine ulifanya mambo makubwa ambayo kwa utamaduni wetu hatukuzoea. Waliochelewa...
Rais mstaafu Kikwete amesema mwalimu Nyerere alikuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa kiakili na kimaarifa aliweza kuwazidi wajumbe 300 wa NEC ya CCM.
Pamoja na yote hayo Nyerere alikuwa ni msikivu...
Wakuu,
Wale mlio kuwa na wasi wasi amesema, "Kwa wale mliokuwa na Mashaka, mwanamke huyu ataweza kuwa rais wa Tanzania! Nataka niwaambie Alie simama hapa ni Rais wa JAMHURI ya MUUNGANO wa...
Mbunge wa Kigamboni ambaye pia ni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @DocFaustine (Mb) akisaini kitabu cha maombolezo kilichopo Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chato, Geita. yuko Chato kwa...