Rais Magufuli amjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
996767_1754023168158985_4682268302794301206_n.jpg

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Jumatatu Januari 11, 2016
su1.JPG

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Jumatatu Januari 11, 2016.

=====

Tazama video:
 
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Magufuri amemjulia hali waziri mkuu mtaafu wa serikali ya awamu ya tatu Mhe Fredirick Sumaye ambaye anapatiwa matibabu katika hospitali ya taifa Muhimbili.Hongera sana mhe Rais kwa kuonesha upendo hata kwa wapinzani wako kisiasa.Hiyo ndo Tanzania ya upendo,amani tunayoitaka hongera kwa kuonesha njia
qweddzd.jpg

Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Januari 11, 2016
DSC_5276.jpg

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu huyo Mhe Freredick Sumaye katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Januari 11, 2016
 
Siasa ni game la aina yake usipoielewa vizuri kila ukimwona mpinzani wako unataka umrukie.

Ila katika siasa mara nyingi watu wa chini wanaumizana, kuchukiana, kutendeana hiyana ila VIONGOZI wao ni marafiki.
 
Wale Akina Dj Mbowe nd Co. Wamemtelekeza mzee Sumaye ila mwanaccm mwenzake Dr. Magufuli kaenda kumjulia hali.
Akitoka hapo aanze kuikashfu Serikali haijafanya kitu wakat yupo kwenye taasisi ya moyo ya Jakaya kikwete.
 
Back
Top Bottom