Je, Zanzibar kuwa Dubai?

Je, Zanzibar kuwa Dubai?

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,821
Kuna mijadala ya chini kwa chini kutoka Tanzania bara ,kuwa sasa ni zamu ya Zanzibar kujengwa iwe kama Dubai

Marais wawili kutoka Zanzibar kwenye jamhuri moja washindwe wenyewe kuijenga Zanzibar

Je, rasilimali za Bara ndo zitaenda kujenga Zanzibar?

Kama Kanda ya ziwa ilivyokuwa imependelewa,je ni zamu ya Zanzibar?
 
Kuna mijadala ya chini kwa chini kutoka Tanzania bara ,kuwa sasa ni zamu ya Zanzibar kujengwa iwe kama Dubai

Marais wawili kutoka Zanzibar kwenye jamhuri moja washindwe wenyewe kuijenga Zanzibar

Je rasilimali za Bara ndo zitaenda kujenga Zanzibar?

Kama Kanda ya ziwa ilivyokuwa imependelewa,je ni zamu ya Zanzibar?
Wacha ijengwe tu iwe Dubai at least wanadeserve sio kule vichakani hata wanachochangia nini? Zanzibar wanachangia uchumi wa taifa kwa asilimia kubwa wale kule wamelazimisha mpaka wilaya yao iwe ndani ya Geita japo wapate justification ya wanachokifanya. BTW tunamalizia vichache wabaki navyo kama kumbukumbu ya unyonge 😃😃😃 there's no place for the innocent, the world is a gang place
 
Wacha ijengwe tu iwe Dubai at least wanadeserve sio kule vichakani hata wanachochangia nini? Zanzibar wanachangia uchumi wa taifa kwa asilimia kubwa wale kule wamelazimisha mpaka wilaya yao iwe ndani ya Geita japo wapate justification ya wanachokifanya. BTW tunamalizia vichache wabaki navyo kama kumbukumbu ya unyonge [emoji2][emoji2][emoji2] there's no place for the innocent, the world is a gang place
Hatari
 
Kumbukumbu:Ally Hassan Mwinyi pia alishawai kuwa Rais wa Tanzania.

Zanzibar ikiwa kama Dubai pia ni vema,au wewe unaona Zanzibar ikiwa kama Dubai kunatatizo?
 
Kuna mijadala ya chini kwa chini kutoka Tanzania bara ,kuwa sasa ni zamu ya Zanzibar kujengwa iwe kama Dubai

Marais wawili kutoka Zanzibar kwenye jamhuri moja washindwe wenyewe kuijenga Zanzibar

Je rasilimali za Bara ndo zitaenda kujenga Zanzibar?

Kama Kanda ya ziwa ilivyokuwa imependelewa,je ni zamu ya Zanzibar?
Yaani nikija kusikia Mzanzibar analalamika tena kuwa kuna kero za Muungano sitamwelewa kabisa.
 
Mmekamata marungu yote mawili then mje kulia lia tena kuhusu muungano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom