Waziri Faustine Ndugulile atua Chato

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
878
955
Mbunge wa Kigamboni ambaye pia ni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @DocFaustine (Mb) akisaini kitabu cha maombolezo kilichopo Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chato, Geita. yuko Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati Rais Dkt @MagufuliJP yatakayofanyika ijumaa tarehe 26 march 2021.

IMG_20210324_173131_087.jpg
 
Mbunge wa Kigamboni ambaye pia ni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @DocFaustine (Mb) akisaini kitabu cha maombolezo kilichopo Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chato, Geita. yuko Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati Rais Dkt @MagufuliJP yatakayofanyika ijumaa tarehe 26 march 2021
View attachment 1733409
Angesikiliza ushauri wako haya yasingemkuta. R.I.P Rais wangu
 
Back
Top Bottom