Ilikuwaje fedha za kununulia ndege zikaingizwa kwenye akaunti nyingine kabla ya kulipwa kampuni husika ya kutengeneza ndege?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
39,819
2,000
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi!

Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!!

Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii si ya kupuuza..
 
fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
5,953
2,000
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi.

Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege.

Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii ni nzito sana.
Duh!
Mzee baba anahusika mana manunuzi ya ndege yote aliyasimamia yeye mwenyewe
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
35,024
2,000
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi.

Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!!

Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii ni nzito sana.
Mbona unaleta taarifa huku unatetemeka!!
 
Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
11,710
2,000
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi.

Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!!

Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii ni nzito sana.

No research, no right to speak.

CC: Paschal
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,371
2,000
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi.

Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!!

Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii ni nzito sana.
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka
 
Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,193
2,000
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi.

Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!!

Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii ni nzito sana.
Doto ajiandae kwenye kunyea debe siku mjomba akiachia ile nafasi
 
Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
11,710
2,000
We elewa tu kuna mengine sijayaleta humu lakini tuhuma ni nzito na chanzo ni uchambuzi wa ripoti ya SIEJI uliofanywa na mwanasiasa huyo hivyo unavyosema sijafanya utafiti,ujue tu mimi sio chanzo bali mimi ni mjumbe tu na mjumbe hauwawi.

Kheri ya Pasaka mkuu.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
34,430
2,000
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi.

Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!!

Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii ni nzito sana.

Hizo ni deal za mzalendo, na akisikia hilo linasemwasemwa anapata hasira kwelikweli. Hapo gazeti lolote litakaloandika hiyo habari lijiandae kufanyiwa mizengwe.
 
Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,330
2,000
Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi.

Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!!

Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani tuhuma hii ni nzito sana.
Hivo nyie wanasiasa mchwara wa Chadema, hamkulijua hili siku zote, na hata hamkuisoma ripoti ya CAG, mpaka Mwami Zitto aisome na aifanyie translation kwa ile lugha ya Chekechea mnaoyoimudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom