Nadhani hii ni baada ya wananchi na waasi wa hii nchi kuchoshwa na manyanyaso ya raisi wao wakamtenda hivi baada ya kumpindua miaka ya 1990s.
African presidents take care kwani uvumilivu wa wananchi wenu una kikomo yasijekukuta haya ndugu yangu...
Aiseee hii ni hatari, lakini hawa wengine hata hawajifunzi.
..Na hawana haja ya kujifunza kwani wanajua kabisa hakuna mwenye guts za kufanya hayo waliofanya watu wa Liberia so usijiumize roho bure.. Kama juzi tu FFU walipoanza kurusha mabomu ya machozi mkalainika na kukubali kuchakachuliwa matokeo ndio mtaweza kufanya hayo aliyofanyiwa Doe??? Never never ever:nono::nono::nono:Aiseee hii ni hatari, lakini hawa wengine hata hawajifunzi.
Hayo ni mawazo yako tuu, ila ni vizuri kujikumbusha yaliyotokea kwa wenzeti ili na sisi yasitutokee Nancy.
Sipendi yatokee wala nini ila ni vizuri kuwa yalitokea