Ushauri kwa viongozi wa Umma kuepuka kutumbuliwa na Rais Samia Suluhu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,903
Viongozi wa umma nawapa ushauri wa bure kuepuka kutumbuliwa na Raisi Mpya Samia

1. Spidi mliyokuwa nayo kipindi cha Rais Magufuli msiache mkiacha wananchi watatungua kilio kumlilia kumkumbuka Magufuli kuwashtaki kwa Raisi mpya kuwa angekuwepo tungepata huduma kwa wakati na spidi nk hivyo Raisi atawachukulia kama mnamhujumu au kumdharau kwa kuwa ni mwanamke lazima atawatumbua.

2. Angalieni foleni zitakazo huduma kwenye taasisi zenu ukiona foleni ndefu au mafaili ya kero mengi tafuta ufumbuzi haraka kabla wananchi hawajampigia yowe Raisi akutumbue.

Kila moja awe Magufuli kwa spidi ileile kutatua kero bila kusubiri Raisi aje au apelekewekero na wananchi.Utatumbuliwa.Uwe na antenna zako mwenyewe kama mkuu wa taasisi au idara au wilaya au mko au wizara au shiriki au kitengo kujua kuna kero gani zipo za kukera wanamchi zinazotakiwa zitatuliwe na uzitafutie ufumbuzi haraka kama huna mamlaka andika shauri upesi mbele kwa waluo juu yako kwa maandishi ili likibuma usije kuwa mbuzi wa kagara kuwa ohh sijui sheria za bunge sijui taratibu ndivyo zinasema hivi nk wakati zinaumiza wananchi peleka ushauri mbele haraka.

3. Heshimu Rais Mpya hata uwe mjuaji vipi Mama Samia ndie Rais

4. Uwe mbunifu kutatua kero na kubana matumizi na kubuni njia za kuongeza mapato ya serikali kwenye eneo lako biña kuumiza wananchi wanyonge ambao ndio majority wapiga kura.Mfano halmashauri wawe wabunifu wa miradi miongeza ajira na mapato na kupunguza kodi korofi kwa wanyonge.

5. Kila mkuu awaze je mimi nitapunguzaje kero za wanyonge na kuongeza mapato ya serikali bila kuumiza mnyonge na kuwe na weekly report ya hilo.

6. Taasisi zote zifanye kazi kama timu moja ya serikali wasitupiane mpira kukiwa kuna mgongano watafute solution pamoja sio ohh mimi hili halinihusu ni la fulani kwangu nimemeliza.

Wengine ongezeni nimeitwa kuna kikao nitaandika mengine baadaye.
 
Yap, wagonjwa wamepanga foleni wanamsubiri dokta, dokta yupo kwenye grocery nje apo anapiga vyombo.
 
Samia atatumbua mpaka washutuke too late, nasema hivi kwa kuwa naamini Samia yupo fiti sana kimsimamo pamoja na kuwa anaonekana mpole. Pia hatakubali kuchezewa ikizingatiwa kuwa atakuwa anachukulia kuwa anadharauliwa kwa kuwa ni rais mwanamke, pia kuwa mpole. Wakati huo atataka kufanya kama mtangulizi wake kwa kuwa tayari wananchi wameonesha hisia hizo. HATAKUBALI KABISA KUANGUKA.
 
Samia atatumbua mpaka washutuke too late, nasema hivi kwa kuwa naamini Samia yupo fiti sana kimsimamo pamoja na kuwa anaonekana mpole. Pia hatakubali kuchezewa ikizingatiwa kuwa atakuwa anachukulia kuwa anadharauliwa kwa kuwa ni rais mwanamke, pia kuwa mpole. Wakati huo atataka kufanya kama mtangulizi wake kwa kuwa tayari wananchi wameonesha hisia hizo. HATAKUBALI KABISA KUANGUKA
Ili nalo neno
 
Samia atatumbua mpaka washutuke too late, nasema hivi kwa kuwa naamini Samia yupo fiti sana kimsimamo pamoja na kuwa anaonekana mpole. Pia hatakubali kuchezewa ikizingatiwa kuwa atakuwa anachukulia kuwa anadharauliwa kwa kuwa ni rais mwanamke, pia kuwa mpole. Wakati huo atataka kufanya kama mtangulizi wake kwa kuwa tayari wananchi wameonesha hisia hizo. HATAKUBALI KABISA KUANGUKA.
Viongozi wa umma wa serikali na Chama na taasisi wasimdharau itakula kwao
 
Jiwe ameshaenda kitabu chake kishafunikwa ,anakuja Samia naye ana taratibu zake(Maono,Mtizamo),hata yeye JPM hakufata mazuri ya JK.
Haina shida kila kitabu na zama zake lakini wanyonge asiwasahau akakumbatia mafisadi itamsumbua
 
Wonyonge gani unaowazungumzia? Aliowabomolea nyumba? Aliowanyima nyongeza ya mishahara miaka 6? Aliowanyima kuchukua NSSF zao? Au walioteswa na genge la Bashite? Wanyonge ni nani ? Au wamachinga waliotozwa elfu 20 ya kitambulisho?
 
Spidi ya kukaripia watu wazima hadharani Kama watoto wadogo .

Spidi ya kutembea na makamera output zero this time watapiga Hadi self wakikata gogo na hii ndio CCM mpya

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
miradi yote iendelee kwa dhamani ya feza iliyopo
mradi ureflect dhamani ya pesa .
 
Ninachoona mbele yangu ni Mama Samia Suluhu kutaka kuwa prove wrong wale wote waliobeza kwamba hatoweza kuongoza Nchi. Backfire yake itakuwa na kishindo kikuu, kwa hiyo chondechonde nyie mliopewa dhamana treni limeshashika speed mjipage
 
Viongozi wa umma nawapa ushauri wa bure kuepuka kutumbuliwa na Raisi Mpya Samia

1. Spidi mliyokuwa nayo kipindi cha Rais Magufuli msiache mkiacha wananchi watatungua kilio kumlilia kumkumbuka Magufuli kuwashtaki kwa Raisi mpya kuwa angekuwepo tungepata huduma kwa wakati na spidi nk hivyo Raisi atawachukulia kama mnamhujumu au kumdharau kwa kuwa ni mwanamke lazima atawatumbua.

2. Angalieni foleni zitakazo huduma kwenye taasisi zenu ukiona foleni ndefu au mafaili ya kero mengi tafuta ufumbuzi haraka kabla wananchi hawajampigia yowe Raisi akutumbue.

Kila moja awe Magufuli kwa spidi ileile kutatua kero bila kusubiri Raisi aje au apelekewekero na wananchi.Utatumbuliwa.Uwe na antenna zako mwenyewe kama mkuu wa taasisi au idara au wilaya au mko au wizara au shiriki au kitengo kujua kuna kero gani zipo za kukera wanamchi zinazotakiwa zitatuliwe na uzitafutie ufumbuzi haraka kama huna mamlaka andika shauri upesi mbele kwa waluo juu yako kwa maandishi ili likibuma usije kuwa mbuzi wa kagara kuwa ohh sijui sheria za bunge sijui taratibu ndivyo zinasema hivi nk wakati zinaumiza wananchi peleka ushauri mbele haraka.

3. Heshimu Rais Mpya hata uwe mjuaji vipi Mama Samia ndie Rais

4. Uwe mbunifu kutatua kero na kubana matumizi na kubuni njia za kuongeza mapato ya serikali kwenye eneo lako biña kuumiza wananchi wanyonge ambao ndio majority wapiga kura.Mfano halmashauri wawe wabunifu wa miradi miongeza ajira na mapato na kupunguza kodi korofi kwa wanyonge.

5. Kila mkuu awaze je mimi nitapunguzaje kero za wanyonge na kuongeza mapato ya serikali bila kuumiza mnyonge na kuwe na weekly report ya hilo.

6. Taasisi zote zifanye kazi kama timu moja ya serikali wasitupiane mpira kukiwa kuna mgongano watafute solution pamoja sio ohh mimi hili halinihusu ni la fulani kwangu nimemeliza.

Wengine ongezeni nimeitwa kuna kikao nitaandika mengine baadaye.
Samia anaakili na ni mstarabu wewe,hawezi kamwe kufata ujinga wa magu,magu alikuwa mfano mbaya katika jamii ya wastaarabu
 
Back
Top Bottom