CHADEMA inamtakatisha Dkt. Hosea kugombea TLS?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,180
Reaction score
138,470
Kwa ufupi sana

Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS.

Aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa PCCB. Katika uongozi wake serikali enzi Rais Kikwete serikali ilikumbwa na kashfa kubwa kumbwa kama EPA, Kagoda, Richmond nk.

Nimeona baadhi ya viongozi (sio chama) wakimpa promo Dkt. Hosea.

Tunataka kujua ni hao viongozi kwa utashi wao binafsi au ni chama kinamtakatisha?

Kama ni chama je, mnatumia vigezo gani kumtakatisha? Ni lini na wapi amekuwa akisimamia yale ambayo watu wenye uchungu na nchi hii wamekuwa wakisimamia?

Ni wapi na lini amewahi kuzungumzia katiba mpya?

Ni wapi amewahi kuzungumzia sheria za hovyo kandamizi kwa demokrasia?

Ni wapi amewahi kuzungumzia uchaguzi 2020 na wizi wa kura?

Na kama itakuwa utashi wa hao viongozi tunawashauri tu jitunzieni heshima.
 
Fafanua CHADEMA inaingiaje hapo. However, Dr. Hoseah akuwai kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali bali PCBB Director General. Ebu uwe na Kumbukumbu hacha Kupotosha..
Viongozi wake ambao ndio nembo ya chama wanampigia chapuo Hosea waziwazi na ni kama ipo kimkakati jinsi wanavyompost.
 
Kwa ufupi sana

Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS.

Aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa PCCB. Katika uongozi wake serikali enzi Rais Kikwete serikali ilikumbwa na kashfa kubwa kumbwa kama EPA, Kagoda, Richmond nk...
Hosea lini alikuwa AG?
 
Kama na wenyewe wameamua kuunga mkono majizi kama hili na wao wapimwe mkojo tu maana hakuna namna sasa
 
Fafanua CHADEMA inaingiaje hapo. However, Dr. Hoseah akuwai kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali bali PCBB Director General. Ebu uwe na Kumbukumbu hacha Kupotosha..
Kama na wenyewe wameamua kuunga mkono majizi kama hili na wao wapimwe mkojo tu maana hakuna namna sasa
Ndg wapi General Hoseah alihusika kwenye Wizi or Ubadhilifu...Huyu ni mtu wa Dini..Msabato aliyeiva Kiimani.. Tuambie wapi alishiriki scandal gani or mojawapo??. Usipende kuwachafua watu bila vivid evidences...
 
Fafanua CHADEMA inaingiaje hapo. However, Dr. Hoseah akuwai kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali bali PCBB Director General. Ebu uwe na Kumbukumbu hacha Kupotosha...
makorokoro yoote siju EPA siju ESCROW sijui IPTL hakuwa ndio mkamata rushwa mkuu, usabato wake unasaidia nini kama yeye angekua mwanaume angejiuzulu sio analialia tu eti ooh viongozi wangu hawakuwa willing , willing ya mavi kwanini asinge resign hasafishiki huyo kima kwa gia ya usabato
 
Kwa ufupi sana

Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS...
Shida ni uongozi
Katibu Wakuu wamekuwa wengi kwa kila chama Chadema (kila mtu ni msemaji) vilevile ACT ccm wenye staha ni NCCR Mageuzi
Ujana maji ya moto

Vyama vinatesa sana wananchi leo wanasimamia hili kesho lile

Mnyika yupo kimya

Bwana weh kila mtu afanye yake nchi haina muongozo ipo ipo tu
 
Kwa ufupi sana

Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS.

Aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa PCCB. Katika uongozi wake serikali enzi Rais Kikwete serikali ilikumbwa na kashfa kubwa kumbwa kama EPA, Kagoda, Richmond nk.

Nimeona baadhi ya viongozi (sio chama) wakimpa promo Dkt. Hosea.

Tunataka kujua ni hao viongozi kwa utashi wao binafsi au ni chama kinamtakatisha?

Kama ni chama je, mnatumia vigezo gani kumtakatisha? Ni lini na wapi amekuwa akisimamia yale ambayo watu wenye uchungu na nchi hii wamekuwa wakisimamia?

Ni wapi na lini amewahi kuzungumzia katiba mpya?

Ni wapi amewahi kuzungumzia sheria za hovyo kandamizi kwa demokrasia?

Ni wapi amewahi kuzungumzia uchaguzi 2020 na wizi wa kura?

Na kama itakuwa utashi wa hao viongozi tunawashauri tu jitunzieni heshima.
Kwani wewe kama humtaki huyo uliyemtaja unamtaka nani? Tuanzie hapo.
 
Dr. Hosea wa nini???
Huyu ndiye aling'olewa na Hayati kwa kushindwa kudhibiti RUSHWA!!!
Isitoshe he is too old to handle the office!
 
Fafanua CHADEMA inaingiaje hapo. However, Dr. Hoseah akuwai kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali bali PCBB Director General. Ebu uwe na Kumbukumbu hacha Kupotosha..

Ndg wapi General Hoseah alihusika kwenye Wizi or Ubadhilifu...Huyu ni mtu wa Dini..Msabato aliyeiva Kiimani.. Tuambie wapi alishiriki scandal gani or mojawapo??. Usipende kuwachafua watu bila vivid evidences...
kwa hiyo dini yake ilimfanya aache rasilimali za nchi zikiporwa?
 
Wasituchagulie tu huyu anayeitwa Albert Msando. Ni mwanaCCM asiye na chembe ya ubinadamu wala msimamo wala nidhamu wala hoja wala kufikiri wala huruma. Aliamua kujiunga chama chenye vkosi vya wasiojulikana waliowapoteza waandishi wa habari, wanasiasa na kuwapiga risasi wenzao akiwemo Lissu. Itakuwa ni aibu taasisi inayoheshimika kama TLS kuongozwa na Msando.
 
Back
Top Bottom