Naomba kujua wazee wa Mfumo (B2M)

Naomba kujua wazee wa Mfumo (B2M)

uncle virus

Senior Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
126
Reaction score
296
Habari Wakuu,

Naomba niende kwenye mada. Ningependa kujua asili au chimbuko la B2M. Kwa wazoefu na wakuu wa umri na uzoefu kwenye masuala ya mipango na siasa nadhan hii team sio ngeni kwenu.

Ufuatiliaji wangu wote unaishia story za mwanzo miaka ya 1994-5 wakiwa washakuwa pamoja na wakisuka mipango yao. Nahitaji kujua walianzia wapi mpaka kufika hapa.

Kwa sehemu kubwa kwa sasa wako hai so haitokuwa vibaya kujifunza mengi kutoka kwao. Especially mzee wetu aliyevumilia mengi, ningependa kujua alifikaje na alipitapita wapi mpk kufika miaka ya 95. Same na kwa Da Gama, ilikuwa kuwaje mpk kuaminiwa mapema vile pamoja na madhaifu yuliyokuja kuyaona nyakati zake? vipi kihusu hyu mmashariki au Economic Hit man wetu? Alijipenyezaje bongo mapema ile na hata kuteka sehem kubwa ya wasukuma kete?

Karibuni wakuu
 
Habari Wakuu,

Naomba niende kwenye mada. Ningependa kujua asili au chimbuko la B2M. Kwa wazoefu na wakuu wa umri na uzoefu kwenye masuala ya mipango na siasa nadhan hii team sio ngeni kwenu...
Jukwaa la historia walijadili sana hii mada@Pohamba njoo
 
Uzi husika uko hapa
 
Boys 2 men what a team huh
Sijui mengi sana ila hawakujuana barabarani that’s for sure
 
Uzi husika uko hapa
Nimeupitia mkuu, na nyingine nyingi ila wengi wanaanza kuwazungumzia kwenye harakati za kuanzia mwaka 95.

Nia yangu ni kujua walianzia wapi kama mmoja mmoja na kama kundi mpaka kufikia uwezo tunaosimuliwa, waliokuja kuonesha hapo kuanzia 95
 
Code ngumu sana mzee legeza kidogo
Kinachojadiliwa hapa ni wanamtandao ambao urais kwao lilikuwa swala la live or die 2005.Vinara wao walikuwa Ni Lowasa na Kikwete na ndo waliitwa boys to men.Kulikuwa na SS ,six wa standard and speed,Aman Karume ,wasomi kama. Prof. Mkandala,waandishi na nguli wa habari Kama salva Rweyemamu na king maker Rostam Aziz.Joka la Makengeza na wengineo.Lowasa na Kikwete walikutana Udsm na baada ya kumaliza chuo wote walienda kutumikia CCM.Nimechoka kuandika.
 
Hii ishu ya akina kikwete , lowasaa ,rostam kiasi kikubwa wameathiri siasa zetu .

Na siwapendi hawa
 
Kinachojadiliwa hapa ni wanamtandao ambao urais kwao lilikuwa swala la live or die 2005.Vinara wao walikuwa Ni Lowasa na Kikwete na ndo waliitwa boys to men.Kulikuwa na SS ,six wa standard and speed,Aman Karume ,wasomi kama. Prof. Mkandala,waandishi na nguli wa habari Kama salva Rweyemamu na king maker Rostam Aziz.Joka la Makengeza na wengineo.Lowasa na Kikwete walikutana Udsm na baada ya kumaliza chuo wote walienda kutumikia CCM.Nimechoka kuandika.
Umepumzika vya kutosha, endelea kumwaga nondo mkuu
 
Kinachojadiliwa hapa ni wanamtandao ambao urais kwao lilikuwa swala la live or die 2005.Vinara wao walikuwa Ni Lowasa na Kikwete na ndo waliitwa boys to men.Kulikuwa na SS ,six wa standard and speed,Aman Karume ,wasomi kama. Prof. Mkandala,waandishi na nguli wa habari Kama salva Rweyemamu na king maker Rostam Aziz.Joka la Makengeza na wengineo.Lowasa na Kikwete walikutana Udsm na baada ya kumaliza chuo wote walienda kutumikia CCM.Nimechoka kuandika.
Naam mkuu, tupe huu urithi adimu
 
Naam mkuu, tupe huu urithi adimu
Harakati za king maker Rostam Aziz zilianzia kwenye kupiga pesa na kujenga ukaribu na CCM vijana waliojenga urafiki mkubwa kwa kuwa hawakukutana barabarani.Vijana hawa wakajitosa kwenye mbio za urais 1995 ,walikodi ndege moja hadi Dodoma kuchukua fomu za urais.Hapa JK kidogo aukwae urais sema kura hazikukidhi vigezo kura zikarudiwa ndo mzee wa Lupaso a k a mzee wa wapumbavu na malofa akatoboa.Nyuma kidogo hapo ilitokea nafasi ya ubunge wa Igunga baada ya kifo Kama sikosei cha Charles Kabeho,king maker akagombea uchaguzi mdogo na kushinda.Mwanangu nyota yake si ikapaa bana,mpaka kufika 2005 ,king maker akawa ni mweka hazina mkuu wa CCM .Utasema nini hapo ndugu yangu.
 
Uzi husika uko hapa
Yaani mpaka nilivyousoma huo uzi wa "wa utata wa kifo cha Dr Omary"
Humo ndani kuna Ma dstv, birthday party n.k

Ndio nimeelewa uzi huu una maana gani.

Long live JF.
 
Harakati za king maker Rostam Aziz zilianzia kwenye kupiga pesa na kujenga ukaribu na CCM vijana waliojenga urafiki mkubwa kwa kuwa hawakukutana barabarani.Vijana hawa wakajitosa kwenye mbio za urais 1995 ,walikodi ndege moja hadi Dodoma kuchukua fomu za urais.Hapa JK kidogo aukwae urais sema kura hazikukidhi vigezo kura zikarudiwa ndo mzee wa Lupaso a k a mzee wa wapumbavu na malofa akatoboa.Nyuma kidogo hapo ilitokea nafasi ya ubunge wa Igunga baada ya kifo Kama sikosei cha Charles Kabeho,king maker akagombea uchaguzi mdogo na kushinda.Mwanangu nyota yake si ikapaa bana,mpaka kufika 2005 ,king maker akawa ni mweka hazina mkuu wa CCM .Utasema nini hapo ndugu yangu.
Mule mule mkuu, heshima kwako kiongozi...

Niliwahi kupitia moja ya nyaraka za miradi ya chama, pesa iliyopigwa na kwa position hyo jamaa alipata muscle za kutosha. Vipi kuhusu Ma mvi?
 
Back
Top Bottom