Je, Rais Uhuru Kenyatta amethibitisha Kenya ni jirani mwema?Je, wajua Rais Magufuli, japo hasafiri sana nje, lakini ni master diplomat on his own way?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,549
113,735
Wanabodi,
hili ni bandiko la swali ,
huu wema wa Rais Kenyatta kuturudishia dhahabu yetu,
Je Rais Uhuru Kenyatta Amethibitisha Kuwa Kenya ni Jirani Mwema?, ni Mshirika Mwema wa Ujirani
mwema wa Jumuiya ya Africa Mashariki, au bado ni mshindani baada ya kulegalega kwa "the coalition of the willing", Uhuru ameamua kufungua the new frontiers?.

Jee Wajua Rais Magufuli, Japo Hasafiri Sana safari za overseas , Lakini ni Master Diplomat
on his own Way?.

Tuanze na Uhuru Kenyatta.
Kuna msemo wa kizungu unaosema, " you can choose your friends but you can't choose your neighbors", ukimaanisha unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua majirani.

Kitendo alichokifanya rais Uhuru Kenyatta cha kuturudishia dhahabu yetu, ni kitendo cha kustahili pongezi za dhati, na hivi ndivyo Uhuru alivyo kwa maneno na matendo.

Niliwahi kumbump Rais Uhuru Kenyatta mahali, wakati
huo hata rais Magufuli alikuwa bado hajawa rais, nilifanya nae mahojiano kidogo ya impromptu kuna kitu alikizungumza kuhusu ujirani mwema

Hivyo huku kuturudishia dhahabu yetu, japo kwa wengi itaonekana ni matokeo ya ile ziara fupi lakini muhimu ya Chatto, lakini kwa sisi wazoefu wa mambo alichokifanya rais Kenyatta ni kuyaishi tuu maneno yake na dhamira yake ya dhati kuihusu Tanzania na ujirani mwema, licha ya kumpokonya tonge la Bomba la mafuta la Uganda, toka mdomoni kwake, na kuivunja ile "the coalition of the willing" ya Kenyatta, Museveni na Kagame kwa Magufuli kufanya urafiki na ujirani mwema na Rwanda na Uganda, hivyo kuiathiri SGR ya Kenya. Alichokifanya Kenyatta ni Diplomacy ya hali ya juu sana.

Ili uweze kuishi kwa amani, ni lazima uishi vizuri na majirani zako, hata kama kuna maeneo mnatofautiana, au mlitofautiana huko nyuma, lazima muwe marafiki, befriend majirani zako wote waliokuzunguka, kiukweli katika eneo hili la kujenga ujirani mwema Rais Magufuli is doing good.

Magufuli alipoingia tuu, kati ya nchi majirani 8 zilizotuzunguka, rais Magufuli ameisha zitembelea nchi nne, amekwenda Rwanda, Kenya, Uganda na Malawi, pia alipanga kwenda Zambia, tetemeko la Bukoba likakatisha ziara yake, bado DRC, Burundi na Msumbiji, hivyo japo rais Magufuli hasafiri safiri sana ziara za nje ya nchi za mara kwa mara, lakini hizi ziara chache anazofanya, au marais wa nje wanaotembelea Tanzania ni very strategic kwa maendeleo ya Tanzania, hivyo rais Magufuli ni a master diplomat on his own way, kwa sababu, wanaomatter kwa ustawi wa Tanzania, ni majirani zetu waliotuzunguka na sio nchi mapebari na mabeberu za ulaya japo fedha za mabeberu bado tunazitegemea sana kwenye general budget support yetu.

Tanzania tukijiimarisha kikamilifu kwa ujirani mwema, Tanzania tuka take advantage ya
soko la Africa Mashariki na soko la SADC, amini usiamini, hatutazihitaji tena zile fedha nyanyasa na fedha dhalilisha za mabeberu.

Hongera rais Kenyatta kwa ujirani mwema, hongera rais Magufuli for being a master diplomat of your own way on African Diplomacy, ila pia rais wetu ni lazima aende duniani, akajichanganye na marais wenzie wakubwa kwenye International Diplomacy angalau ahudhurie UN GA, hata kama mwenyewe hapendi, apendeshwe for international diplomacy na international exposures.

P
 
Rais Magufuli ni jasiri na mchapakazi ndio maana anakimbiliwa na marais wote wa Afrika!
 
mkuu katika hii verdict yako ya kumbatiza poti "colourful diplomatic accolades" utakuwa labda ume minus uchomaji wa vifaranga vya Wakenya, needless to mention utaifishaji wa mifugo yao.

jirani kalipa ubaya kwa wema - hiyo ndiyo diplomasia na ucha Mungu niujuao mimi hapa mwalimu M-Mbabe.
 
Kwanza tujiulize kule chato walizungumza nini na baada ya hapo tofauti na zile tausi nini kingine aliondoka nacho kwenye mkoba wake ...
Tuanzie hapo kwanza tukijua hilo ndo tuje na hili lako
 
Jambo ambalo halina ubishi ni kwamba, Kenyatta ni smarter compared to JPM! Kenyata ni mwanasiasa na bepari! Patamu zaidi, kati yao mmoja ni mshamba mshamba aliyechanganyikiwa (according tu Mwana-CCM Abdulrahman Kinana) na mwingine ni mjanja mjanja asiyeijua shida tangia azaliwe!! Aliyekuwa anamweza Kenyatta hapa ni JK peke yake kwa sababu wote ni wajanja wajanja!! Na kati ya viongozi aliyekuwa anaombea JK amalize muda wake basi ni Kenyatta!! Nakumbuka jinsi Kenyatta alivyokuwa anahangaika kuipiga bao TZ kwa kukimbilia kujenga SGR ili aiteke Rwanda na Uganda! Mzee wa Msoga akawa anamwangalia tu na fitina zake! Leo hii SGR hiyo, inawatokea puani na Rwanda imeghairi kutumia reli ya Kenya!

Sasa huyu mwenzangu mimi, stay tuned! Hakuna Nyang'au la Kikenya linaloweza kuachia dhahabu hivi hivi tu! Halafu nasikia wameachia pesa ambazo ziliibiwa Tanzania miaka 10 iliyopita!

Halafu ngoja nikukumbushe! Kenyatta akitaka kitu haoni taabu kujifanya fa'la! Enzi za JK, Kenya walizuia tours vehicles za Tz kuingia Kenya! Kuona hivyo, JK akapiga Ikulu kwa kwa kukata nusu ya safari za Kenya Airways zinazoruhusiwa kuingia Tanzania! Kuona hivyo, Kenyatta hakuona taabu kujifanya fa'la! Akam-time JK alipoenda Namibia, nae akaenda wakamilizana huko huko!!

Mfano wa pale ni pale Kenyatta alivyokuwa na mpango wa Ushoroba wa Kaskazini akikusudia kuitenga Tanzania! JK akawaka kishenzi alipokuwa bungeni! Kenyatta akaona isiwe shida! Siku ya pili tu, akamtuma Bi Amina Mohamed aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Kenya kuja Tanzania kuweka mambo sawa!!

So, wala tusijidanganye eti ni diplomasia ya JPM! Bora enzi zile za JK tulishajua Kenyatta anataka nini! Hii ya sasa, only Kenyatta na labda JPM wake ndio wanajua Kenyatta anataka nini!!
 
Jambo ambalo linanipa shida PAASI ni kwamba nikiifikria kenya na corruption scandal zake from GOLDENBERG to NYS napata shida sana kuamini kwamba dhahabu hiyo ilitunzwa kwenye coffers za kenya tangu 2004. hivi wameipima kweli?!? ni real gold??? isije kuwa ni kakumba, na za siku hizi ni balaa ni kama riale kabisa!!!
 
Jambo ambalo halina ubishi ni kwamba, Kenyatta ni smarter compared to JPM! Kenyata ni mwanasiasa na bepari! Patamu zaidi, Kenyatta sio mshamba mshamba na aliyechanganyikiwa kama bwana yule! Aliyekuwa anamweza Kenyatta hapa ni JK peke yake kwa sababu wote wajanja wajanja!! Kenyatta akataka kujifanya kumpiga bao JK kwenye SGR ili awavute Uganda na Rwanda, leo hii SGR hiyo, inawatokea puani Kenyatta!

Sasa huyu mwenzangu mimi, stay tuned! Hakuna Nyang'au la Kikenya linaloweza kuachia dhahabu hivi hivi tu! Halafu nasikia wameachia pesa ambazo ziliibiwa Tanzania miaka 10 iliyopita!

Halafu ngoja nikukumbushe! Kenyatta akitaka kitu haoni taabu kujifanya fa'la! Enzi za JK, Kenya walizuia tours vehicles za Tz kuingia Kenya! Kuona hivyo, JK akapiga Ikulu kwa kwa kukata nusu ya safari za Kenya Airways zinazoruhusiwa kuingia Tanzania! Kuona hivyo, Kenyatta hakuona taabu kujifanya fa'la! Akam-time JK alipoenda Namibia, nae akaenda wakamilizana huko huko!!

Mfano wa pale ni pale Kenyatta alivyokuwa na mpango wa Ushoroba wa Kaskazini akikusudia kuitenga Tanzania! JK akawaka kishenzi alipokuwa bungeni! Kenyatta akaona isiwe shida! Siku ya pili tu, akamtuma Bi Amina Mohamed aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Kenya kuja Tanzania kuweka mambo sawa!!

So, wala tusijidanganye eti ni diplomasia ya JPM! Bora enzi zile za JK tulishajua Kenyatta anataka nini! Hii ya sasa, only Kenyatta na labda JPM wake ndio wanajua Kenyatta anataka nini!!
Mkuu hili jambo la kurudisha dhahabu na pesa ni jambo fikilishi sana

Kwanza ikumbukwe kwamba hiyo dhahabu haikuwa mali ya serikali hivyo hata kama serikali ya kenya ingeitaifisha bado serikali ya tz isingelaumu kwa hilo. Hivyo ni kwa nn serikali ya Kenya wameirudisha dhahabu hiyo tz majibu yake kwa kweli anajua Kenyata na JPM.

Pesa ilikuwa ni mali ya bank na bank zina bima hivyo bank haikuwa na hasara kwa kuibiwa pesa hizo. Hivyo nazo hizo pesa ni kwa nn zimerudishwa pesa ambazo zimekamatwa 15 years ago, nayo jibu analo PJM na Kenyeta.

Zaidi ya yote tumshukuru JPM kwa kuwezesha serikali yetu kupata kipato ambacho ni dhahabu na peaa
 
JPM diplomat by DESIGN, DEFAULT or TRY AND ERROR?!
Hebu looklook at this?!
"Hivi unajisikiaje unapomtukana jirani yako na kumsemasema vibaya kila mara, Unachoma moto vifaranga vya kuku vilivyotoka nchini mwake ili kumchafulia sifa, anapata baa la njaa nchini mwake lakini wewe badala ya kumsaidia unawakataza raia wako wasiuze chakula nchini mwake ili wananchi wake wafe njaa, ngombe wa watu wake wanavuka mpaka wakitafuta malisho nchini mwako unawakamata na kuwapiga mnada, eneo moja la nchi yako linapigwa na tetemeko la ardhi yeye anakuwa mtu wa kwanza kupeleka misaada ya hali na mali kuwasaidia watu wako, Halafu wewe unaibiwa raslimali madini dhahabu ya mabilioni ya shilingi, inakamatwa nchini mwake na askari wake, na yeye bila hiana anaichukua dhahabu hiyo na pesa taslimu kwa mabilioni ANAKURUDISHIA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"

Paskali wacha kuyumbayumba! WHO IS A GREATER DIPLOMAT or a NATURALLY humble COMPASSIONIST WITH A GOLDEN HEART?!
 
Back
Top Bottom