Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC jana ilitoa matangazo magazetini kubusiana na uwepo wa nafasi wazi ya Ubunge Jimbo la Muhambwe huko Kibondo mkoani Kigoma. Hivyo NEC wametoa fursa kwa vyama kutafuta...
1 Reactions
4 Replies
896 Views
Wanabodi, Mimi sio mtaalamu wa lugha ya mawasiliano"Communication skills".Ingawa natambua kwa kila neno utakaloongea au kuropoka (Transfering message) lazima usubiri mrejesho mzuri au mbaya(...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA , ameondoka nchini humo leo Jumanne kwenda Ubelgiji huku akisema “sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai...
67 Reactions
561 Replies
55K Views
Wanabodi, Angalizo: Naomba kulianza bandiko kwa kwa angalizo, kama na wewe ni mmoja miongoni wa wale members humu wenye allergy na pongezi zozote kwa mazuri yoyote yanayofanywa na rais Magufuli...
62 Reactions
151 Replies
18K Views
Ndege ya shirika letu imetua rasmi Entebbe nchini Uganda baada ya miaka mingi kutokuonekana nchini humo,Hii inaashiria rasmi kuanza kwa safari za moja kwa moja nchini Uganda kutokea majiji ya...
28 Reactions
179 Replies
21K Views
Naomba kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuapishwa kuwa Rais- wa JMT. Nikupe pole kwa kupata nafasi hii ukiwa katika hali ya majonzi na nikuombe usitetereke, umepokea kijiti angali nchi inakimbia...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi...
5 Reactions
49 Replies
6K Views
Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali...
11 Reactions
145 Replies
16K Views
Mwenyezi Mungu akurehemu katika Safari yako JPM, sisi ni wake na hakika kwake ni marejeo. Umetangulia hatujui inayo fuata ni zamu ya nani kati yangu Mimi na wewe unaye soma mada hii,ila inshallah...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kupitia hapa JamiiForums, niliwahi taja sifa kuu 7 za Tundu Lissu kulingana na mtazamo wangu na moja ya sifa hizo ilkuwa ni uwezo wa Lissu kuona mbali(foresight). Nilimpa sifa zile sio kwa lengo...
19 Reactions
60 Replies
7K Views
Wana Jf Kama kuna mwenye taarifa zozote za karibuni kumhusu Mwenyekiti wa TLP ambye pia na Mbunge wa Vunjo atujuze Mh.Agustine Lyatonga Mrema.
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Wanaccm mnaoratibu mipango ya kufanya maandamano ili Rais aongozewe muda wa kusalia madarakani kumbukeni na haya, muwe makini msije mkachafua hali ya hewa tukatafutana. 1.Mnakumbuka kwamba...
13 Reactions
44 Replies
5K Views
Kutoka Chato hadi Mwanza Distance yake ni 78.65 mi (126.58 km). Driving route: 148.32 mi (238.70 km). Mwendo wa saa ambazo sio zaidi ya 5 unakuwa umefika Mwanza ukitokea Chato. Ukipita Bwanga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo Mh. Rais wakati akizindua stand ya mabasi ya mbezi luis amepokea maombi murua kutoka kwa mwakilishi wa wananchi ambaye ni mbunge, nitapenda kuongelea ombi moja kati ya mengi aliyoyaomba kwa...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
JK amesema kuna watu waongo wanavumisha kwamba yeye hampendi Hayati Magufuli hiyi si kweli kwa sababu yeye ndio aliliweka jina lake kuwa namba 1 kati ya 5! Kikwete amesema alipokea majina 38 ya...
27 Reactions
59 Replies
8K Views
Habari wadau, Kwa mtazamo wangu, siku 21 za maombolezo ya kitaifa wanapofariki viongozi(maraisi) ni nyingi mno hivyo napendekeza zipunguzwe kufikia siku 14 au hata chini ya hapo. Wanadamu, kwa...
14 Reactions
54 Replies
5K Views
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri. Cheti...
31 Reactions
137 Replies
13K Views
Nimepitia ilani za Chadema kwa mihula mitatu waliyobahatika kugombea nafasi ya urais ukiacha huu uliopita wa Tundu Lisu. Mwaka 2005 mgombea alikuwa Freeman Mbowe Mwaka 2010 mgombea alikuwa Dr...
2 Reactions
10 Replies
895 Views
Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika afika Kijijini Chikobe Mkoani Geita akitokea kwenye mazishi ya Magufuli kumjulia hali Mama Mzazi wa Kamanda Alfonse Mawazo,Bi. Heleni Nyegera. Alphonse Mawazo...
12 Reactions
47 Replies
5K Views
Miongoni mwa vitu ambavyo vilileta matatizo nchi hii, ni kuwa na Rais mlegevu na tepetevu. Walikuja hapa watu wa pwani wakalegea legea hovyo nchi ikachimbwa na kuliwa mpaka mifupa. Tukawa na...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…