Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,582
113,787
Wanabodi,

Angalizo:
Naomba kulianza bandiko kwa kwa angalizo, kama na wewe ni mmoja miongoni wa wale members humu wenye allergy na pongezi zozote kwa mazuri yoyote yanayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya Awamu ya Tano, naomba uishie hapa, nisije nikakuharibia siku yako.

Declaration of Interest
Mimi ni Msukuma, sehemu ya bandiko hili ni pongezi kwa Wasukuma kuongoza kwa kupanda ndege, sijazitoa pongezi hizo kwa lengo la kujifagilia kwa sababu na mimi ni Msukuma, bali nimezitoa kwa sababu ni facts kuwa Wasukuma ndilo kabila linaloongoza kwa kuwa na watu wengi, hivyo Wasukuma kuijaza Dreamliner sio jambo la ajabu, tembelea hapa Mwanza ujue ushuhudie jinsi Dreamliner ya Mwanza iko full full wiki nzima. Jana mimi mwenyewe ilinilazimu kutumia ile sayansi yetu ya asili ya kule Gambosh, kumfanya abiria mmoja awe no show, ili mimi niweze kupata nafasi kusafiri.

Nimekuja kujigundua Wasukuma tunapenda sana raha, kufurahi, na kustarehe, sasa kati ya njia zote za usafiri, ndege ndio usafiri wa raha na starehe zaidi, na starehe ya dreamliner, kiukweli usipime.

Mimi tangu nilipokuwa mdogo kule Mwanza, nilikuwa naona raha sana kupanda lift ya jengo la Pamba na Bugando, hivyo preference ya kusafiri na ndege kwa Wasukuma its natural, wanapenda vitu vizuri, raha na kustarehe kila hali inaporuhusu, ndio maana wanaongoza kwa kupanda ndege.

Kwenye Mazuri Tupongeze, Kwenye Mapungufu Tukosoe.
Miongoni mwa sifa za pekee za sisi Wasukuma, ni pamoja na kuwa wakweli daima, kwenye mazuri tutapongeza na kwenye mapungufu tutakosoa, huku tukiweka mapendekezo ya nini kifanyike kuboresha. Hii inaitwa constructive criticism, hivyo naomba kukiri, mimi ni miongoni mwa wakosoaji wakubwa wa ATC, na pia ni miongoni mwa waliopinga Dreamliner kuruka domestic routes, lakini kitendo cha route ya Mwanza, kuwa full kwa wiki nzima, huu ni uthibitisho kuwa Tanzania tuna abiria wa kutosha kuijaza Dreamliner route ya Mwanza, hivyo ATC itakapo routes za nje, ndege itajaa, lakini kama route hiyo ina faida au haina, hili sio langu, ni la wachumi wa airline business, na lile la kurusha mdege mkubwa wa long distance, kwa short domestic routes, hili pia sio la kwangu, hili ni wataalam wa mambo ya avionics. Hoja ya kununua ndege kwa cash money badala ya hire purchase, pia sio ya kwangu, hii ni hoja ya wataalam wa procurement and supplies, mimi hoja yangu hapa ni kuwa Dreamliner haita jaa kwa sababu tulielezwa humu na wataalumu wetu humu jf kuwa dreamliner ni dege kubwa sana kwa nchi yetu, na kuwa hatuna abiria wa kutosha kulishibisha kwa kulijaza, jana nime waprove wrong wataalamu wetu wa humu JF kwa dreamliner kujaa full na nikaianziashia uzi huu

Kitendo cha Dreamliner Kujaa, Kinahitaji Pongezi Kwa ATC na Pongezi kwa Rais Magufuli kwa Aumuzi wake Kununua Ndege kwa Cash, Ameona mbali hivyo ni Visionary Leader.
Kwa vile zilitolewa hoja humu kuwa Dreamliner haijai, nimepanda na nimeshuhudia imejaa full, kwa hili tuu ATCL inastahili pongezi, ila pia pongezi ziende pia kwa aliyenunua ndege hizi, japo siungi
mkono ule ununuzi wa cash, ninachopongezea ni uamuzi wa acquirement ya hizo ndege, hadi sasa
Tanzania tunamiliki dream-liner ikiwa ni nchi ya tatu barani Africa kumiliki Dreamliner. hongera sana rais Magufuli, japo njia tulizotumia kuipata zilikuwa na mazongezonge, lakini the end justify the means, Dreamliner yetu ipo in reality na sasa inajaa full!.

My Observation Ndani ya Dreamliner
Declaration of Interest kuhusu my Observation.
Naomba ku declare namfahamu CEO wa ATCL, Eng. Matinde, na pia nawafahamu watu wake wa PR. Pia naomba kukiri, nilipewa free ticket wakati wa uzinduzi wa dreamliner, na kukaribishwa kuitumia, hivyo CEO ali open his hands kunikaribisha kupata free ticket ya maiden trip, ila amini usiamini sikurejea kuchukua hiyo free ticket, na trips zote nilizopanda ATC huwa nalipa cash money, ili ku maitain my independence of opinioni, ukiishafadhiliwa, unapaswa kuwa mtu wa shukrani, hivyo ili ku maintain my objectivity, always nalipo, tena bei ya ticket ya jana naomba nisiitaje nikaonekana nalalamika.

Hivyo hizi ni observation zangu ndani kuhusu Dreamliner, the good, the bad and the ugly.
  1. Wahudumu ni watoto wazuri, wachangamfu na wanavutia, abiria unajisikia raha kuhudumiwa na warembo hao.
  2. Seats ni very comfortable, kila seat na Screen yake.
  3. In flight refreshments, kwanza asanteni kwa maji, chai, soda, juice na bia bure, sisi watu wa mambo makubwa, kama wines na spirits, hakuna. Kama ni gharama, wekeni, tutalipia.
  4. In flight instructions its good ziko kwa lugha kuu mbili, Kiingereza na Kiswahili, that is good.
  5. Kwenye instructions za Kiingereza, kuna sub titles za Kichina!, what for?, nilidhani kwa vile sisi lugha yetu ni Kiswahili, then kwenye English instructions, sub titles zingekuwa Kiswahili ili pia kuikuza lugha yetu, hizo subtitles za Kichina za nini?.
  6. Kwenye Swahili instructions, hakuna subtitles zozote, hapa kwenye Kiswahili tulipaswa kuweka English subtitles pia ili kukikuza Kiswahili.
  7. Tangazo la maelezo ya Kiswahili, lina intonations ya Kiswahili cha Kenya. Mmekosa mtangazaji Mtanzania mwenye Kiswahili cha Tanzania hadi kutumia Mtangazaji mwenye Kiswahili cha Kenya?.
  8. Nliposeach WiFi, nikaikuta WiFi ipo live, tatizo ni just to access, kuna tatizo gani kwenye access WiFi?.
  9. In flights entertainment, there is nothing at all about Tanzania, its not only about Tanzania, its neither Tanzania nor Africa!. Tunapanda ndege za wazungu, wana something about Afrika, halafu unapanda an African Airline, nothing about Africa!.
  10. Nimepanda dreamliner za wenzetu, unakuta headset kwenye seat, before landing kwenye final destination, wanakusanya headsets, lakini ndani ya dreamline yetu, hakuna ugawaji wa headsets, hivyo in flight entertainment ni white elephant, thank mimi nilikuwa na headset ya simu yangu. Kama hamna headsets, semeni, au kama mnazo, mnazo ila mnaogopa Wasukuma watashuka nazo, maana sisi Wasukuma kwa ushamba!, then watangazieni abiria wenu tupande na headsets zetu, ili ku enjoy in flight entertainment, ila pia siwezi kuwalaumu ATC, kwa sababu ka safari kenyewe nacho kafupi sana, ile mnapaa tuu, mara kidogo hata kabla haujaenjoy, mara mnatangaziwa kushuka!.
Kwa leo naomba niishie hapa, lakini Eng. Matinde na timu yako, hongera sana, kwa kazi nzuri, kama Mwanza tuu dreamline yetu inajaa ful full week long, hata tukiirusha kuipeleka London, New York na China, itaja tuu, ila nawaomba msizianze routes hizi mapema kabla hatujapata zile ndege nyingine, maana dreamliner ikianza international flight halafu Usukumani mkatuletea pangaboi, kuna baadhi yetu, uzalendo utatushinda.

Paskali
 
Wanabodi,

Angalizo:
Naomba kulianza bandiko na angalizo, kama na wewe ni mmoja wa wale members humu wenye allergy na pongezi zozote kwa mazuri yotote yanayofanywa na Magufuli na awamu yake ya tano, naomba uishie hapa, nisije nikakuharibia siku yako.

Declaration of Interest
Mimi ni Msukuma, sehemu ya bandiko hili ni pongezi kwa Wasukuma kuongoza kwa kupanda ndege, sijazitoa pongezi hizo kwa lengo la kujifagilia kwa sabu na mimi ni Msukuma, bali nimezitoa kwa sababu ni facts kuwa Wasukuma ndilo kabila linaloongoza kwa kuijaza Dreamliner, tembelea hapa ushuhudie jinsi Dreamliner ya Mwanza iko full full wiki nzima. Jana mimi mwenyewe ilinilazimu kutumia ile sayansi yetu ya asili, kumfanya abiria mmoja awe no show, ili niweze kusafiri.

Nimekuja kujigundua Wasukuma tunapenda sana raha, kufurahi, na kustarehe, sasa kati ya njia zote za usafiri, ndege ndio usafiri wa starehe zaidi, na starehe ya dreamliner, kiukweli usipime. Mimi tangu nilipokuwa mdogo kule Mwanza, nilikuwa naona raha sana kupanda lift ya jengo la Pamba na Bugando, hivyo preference ya kusafiri na ndege kwa Wasukuma its natural, wanapenda vitu vizuri, raha na kustarehe kila hali inaporuhusu, ndio maana wanaongoza kwa kupanda ndege.

Kwenye Mazuri Tupongeze, Kwenye Mapungufu Tukosoe.
Miongoni mwa sifa za pekee za sisi Wasukuma, ni pamoja na kuwa wakweli daima, kwenye mazuri tutapongeza na kwenye mapungufu tutakosoa, huku tukiweka mapendekezo ya nini kifanyike kuboresha. Hii inaitwa constructive criticism, hivyo naomba kukiri, mimi ni miongoni mwa wakosoaji wakubwa wa ATC, na pia ni miongoni mwa waliopinga Dreamliner kuruka domestic routes, lakini kitendo cha route ya Mwanza, kuwa full kwa wiki nzima, huu ni uthibitisho kuwa Tanzania tuna abiria wa kutosha kuijaza Dreamliner route ya Mwanza, lakini kama route hiyo ina faida au haina, hili sio langu, ni la wachumi wa airline business, na lile la kurusha mdege mkubwa wa long distance, kwa short domestic routes, hili pia sio la kwangu, hili ni wataalam wa mambo ya avionics. Hoja ya kununua ndege kwa cash money badala ya hire purchase, pia sio ya kwangu, hii ni hoja ya wataalam wa procurement and supplies, mimi hoja yangu ilikuwa Dreamliner haita jaa kwa sababu tulielezwa humu na wataalumu wetu humu jf kuwa dreamliner ni dege kubwa sana kwa nchi yetu, na kuwa hatuna abiria wa kutosha kulishibisha kwa kulijaza, jana nime waprove wrong wataalamu wetu wa humu JF kwa dreamliner kujaa full na nikaianziashia uzi huu

Umebadili kichwa eeeh!!!! Safi
 
Bro mimi huwa naisikiliza ile hotuba yake ya kwanza pale bungeni mara kwa mara, yaani Mh Rais anafanya yale yale aliyoahidi. Wacha watu wapige domo lakini Mzee anamaono na anania ya dhati kuipeleka nchi yetu kwenye uchumi wa kati.
 
Mkuu nashukuru sana kutuletea habari nzuri kuhusu shirika letu la anga...Mkuu sisi wengine tuko very irritated kuchangia uzi wenye ukabila ndani japo inawezekana umeweka kwa utani au kwa kumaanisha.
 
lakini Eng. Matinde na timu yako, hongera sana, kwa kazi nzuri, kama Mwanza tuu dreamline yetu inajaa ful full week long, hata tukiirusha kuipeleka London, New York na China, itaja tuu, ila nawaomba msizianze routes hizi mapema kabla hatujapata zile ndege nyingine, maana dreamliner ikianza international flight halafu Usukumani mkatuletea pangaboi, kuna baadhi yetu, uzalendo utatushinda.
Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Ila kwenye kiswahili we kinachokuuma ni lafudhi? Maana kiswahili ni kile kile hata kama ni lafudhi ya kenya as long as ni sanifu sidhani kama kuna tatizo hapo.

#DG
 
Wanabodi,

Angalizo:
Naomba kulianza bandiko na angalizo, kama na wewe ni mmoja wa wale members humu wenye allergy na pongezi zozote kwa mazuri yotote yanayofanywa na Magufuli na awamu yake ya tano, naomba uishie hapa, nisije nikakuharibia siku yako.

Declaration of Interest
Mimi ni Msukuma, sehemu ya bandiko hili ni pongezi kwa Wasukuma kuongoza kwa kupanda ndege, sijazitoa pongezi hizo kwa lengo la kujifagilia kwa sabu na mimi ni Msukuma, bali nimezitoa kwa sababu ni facts kuwa Wasukuma ndilo kabila linaloongoza kwa kuijaza Dreamliner, tembelea hapa ushuhudie jinsi Dreamliner ya Mwanza iko full full wiki nzima. Jana mimi mwenyewe ilinilazimu kutumia ile sayansi yetu ya asili, kumfanya abiria mmoja awe no show, ili niweze kusafiri.

Nimekuja kujigundua Wasukuma tunapenda sana raha, kufurahi, na kustarehe, sasa kati ya njia zote za usafiri, ndege ndio usafiri wa starehe zaidi, na starehe ya dreamliner, kiukweli usipime. Mimi tangu nilipokuwa mdogo kule Mwanza, nilikuwa naona raha sana kupanda lift ya jengo la Pamba na Bugando, hivyo preference ya kusafiri na ndege kwa Wasukuma its natural, wanapenda vitu vizuri, raha na kustarehe kila hali inaporuhusu, ndio maana wanaongoza kwa kupanda ndege.

Kwenye Mazuri Tupongeze, Kwenye Mapungufu Tukosoe.
Miongoni mwa sifa za pekee za sisi Wasukuma, ni pamoja na kuwa wakweli daima, kwenye mazuri tutapongeza na kwenye mapungufu tutakosoa, huku tukiweka mapendekezo ya nini kifanyike kuboresha. Hii inaitwa constructive criticism, hivyo naomba kukiri, mimi ni miongoni mwa wakosoaji wakubwa wa ATC, na pia ni miongoni mwa waliopinga Dreamliner kuruka domestic routes, lakini kitendo cha route ya Mwanza, kuwa full kwa wiki nzima, huu ni uthibitisho kuwa Tanzania tuna abiria wa kutosha kuijaza Dreamliner route ya Mwanza, lakini kama route hiyo ina faida au haina, hili sio langu, ni la wachumi wa airline business, na lile la kurusha mdege mkubwa wa long distance, kwa short domestic routes, hili pia sio la kwangu, hili ni wataalam wa mambo ya avionics. Hoja ya kununua ndege kwa cash money badala ya hire purchase, pia sio ya kwangu, hii ni hoja ya wataalam wa procurement and supplies, mimi hoja yangu ilikuwa Dreamliner haita jaa kwa sababu tulielezwa humu na wataalumu wetu humu jf kuwa dreamliner ni dege kubwa sana kwa nchi yetu, na kuwa hatuna abiria wa kutosha kulishibisha kwa kulijaza, jana nime waprove wrong wataalamu wetu wa humu JF kwa dreamliner kujaa full na nikaianziashia uzi huu

Kitendo cha Dreamliner Kujaa, Kinahitaji Pongezi Kwa ATC na Pongezi kwa Rais Magufuli kwa Aumuzi wake Kununua Ndege kwa Cash, Ameona mbali hivyo ni Visionary Leader.
Kwa vile zilitolewa hoja humu kuwa Dreamliner haijai, nimepanda na nimeshuhudia imejaa full, kwa hili tuu ATCL inastahili pongezi, ila pia pongezi ziende pia kwa aliyenunua ndege hizi, japo siungi
mkono ule ununuzi wa cash, ninachopongezea ni uamuzi wa acquirement ya hizo ndege, hadi sasa
Tanzania tunamiliki dream-liner ikiwa ni nchi ya tatu barani Africa kumiliki Dreamliner. hongera sana rais Magufuli, japo njia tulizotumia kuipata zilikuwa na mazongezonge, lakini the end justify the means, Dreamliner yetu ipo in reality na sasa inajaa full!.

My Observation Ndani ya Dreamliner
Declaration of Interest kuhusu my Observation.
Naomba ku declare namfahamu CEO wa ATCL, Eng. Matinde, na pia nawafahamu watu wake wa PR. Pia naomba kukiri, nilipewa free ticket wakati wa uzinduzi wa dreamliner, na kukaribishwa kuitumia, hivyo CEO ali open his hands kunikaribisha kupata free ticket ya maiden trip, ila amini usiamini sikurejea kuchukua hiyo free ticket, na trips zote nilizopanda ATC huwa nalipa cash money, ili ku maitain my independence of opinioni, ukiishafadhiliwa, unapaswa kuwa mtu wa shukrani, hivyo ili ku maintain my objectivity, always nalipo, tena bei ya ticket ya jana naomba nisiitaje nikaonekana nalalamika.

Hivyo hizi ni observation zangu ndani kuhusu Dreamliner, the good, the bad and the ugly.
  1. Wahudumu ni watoto wazuri, wachangamfu na wanavutia, abiria unajisikia raha kuhudumiwa na warembo hao.
  2. Seats ni very comfortable, kila seat na Screen yake.
  3. In flight refreshments, kwanza asanteni kwa maji, chai, soda, juice na bia bure, sisi watu wa mambo makubwa, kama wines na spirits, hakuna. Kama ni gharama, wekeni, tutalipia.
  4. In flight instructions its good ziko kwa lugha kuu mbili, Kiingereza na Kiswahili, that is good.
  5. Kwenye instructions za Kiingereza, kuna sub titles za Kichina!, what for?, nilidhani kwa vile sisi lugha yetu ni Kiswahili, then kwenye English instructions, sub titles zingekuwa Kiswahili ili pia kuikuza lugha yetu, hizo subtitles za Kichina za nini?.
  6. Kwenye Swahili instructions, hakuna subtitles zozote, hapa kwenye Kiswahili tulipaswa kuweka English subtitles pia ili kukikuza Kiswahili.
  7. Tangazo la maelezo ya Kiswahili, lina intonations ya Kiswahili cha Kenya. Mmekosa mtangazaji Mtanzania mwenye Kiswahili cha Tanzania hadi kutumia Mtangazaji mwenye Kiswahili cha Kenya?.
  8. Nliposeach WiFi, nikaikuta WiFi ipo live, tatizo ni just to access, kuna tatizo gani kwenye access WiFi?.
  9. In flights entertainment, there is nothing at all about Tanzania, its not only about Tanzania, its neither Tanzania nor Africa!. Tunapanda ndege za wazungu, wana something about Afrika, halafu unapanda an African Airline, nothing about Africa!.
  10. Nimepanda dreamliner za wenzetu, unakuta headset kwenye seat, before landing kwenye final destination, wanakusanya headsets, lakini ndani ya dreamline yetu, hakuna ugawaji wa headsets, hivyo in flight entertainment ni white elephant, thank mimi nilikuwa na headset ya simu yangu. Kama hamna headsets, semeni, au kama mnazo, mnazo ila mnaogopa Wasukuma watashuka nazo, maana sisi Wasukuma kwa ushamba!, then watangazieni abiria wenu tupande na headsets zetu, ili ku enjoy in flight entertainment, ila pia siwezi kuwalaumu ATC, kwa sababu ka safari kenyewe nacho kafupi sana, ile mnapaa tuu, mara kidogo hata kabla haujaenjoy, mara mnatangaziwa kushuka!.
Kwa leo naomba niishie hapa, lakini Eng. Matinde na timu yako, hongera sana, kwa kazi nzuri, kama Mwanza tuu dreamline yetu inajaa ful full week long, hata tukiirusha kuipeleka London, New York na China, itaja tuu, ila nawaomba msizianze routes hizi mapema kabla hatujapata zile ndege nyingine, maana dreamliner ikianza international flight halafu Usukumani mkatuletea pangaboi, kuna baadhi yetu, uzalendo utatushinda.

Paskali
pamoja na angalizo wapo wataokushukia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom