BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,738
141,604
Bakwata.jpg

Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.

Cheti hicho kimetolewa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.

Pia soma > Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

RIP Magufuli.
 
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.

Cheti hicho kimesainiwa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.

RIP Magufuli!
Tatizo la waislamu hawa hawa so called Bakwata ni kujali vitu petty kama hivyo!
 
kulikuwa hakuna haja kwa jambo kama hilo. respect earned but si lazima mpaka cheti
 
Tatizo la waislamu hawa hawa so called Bakwata ni kujali vitu petty kama hivyo!
Mbona kama unateseka? umeumia Eee!
Wenye akili wameona kua kitendo cha Kenyata ni cha kiungwana na kina funzo kubwa la kila imani kuheshimu imani ya wengine,

kama wewe uwezo wako wa kufikiri umekufikisha na kuona kua jambo hilo ni kitu petty basi endelea tu kuwaza hivyo hivyo ila usilazimishe kila mtu awaze kama wewe.
 
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.

Cheti hicho kimesainiwa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.

RIP Magufuli!
Hicho cheti kiko wapi? Baraza la waislamu la Kenya ndio wamentunukia Uhuru cheti na kimeoneshwa. Sasa sijui wewe ni msemaji wa Bakwata? Angalau ungeliweka ushahisi sio maneno matupu tu
 
Taratibu tunaelekea, pale Jamhuri Stadium Dodoma na Benjamin Mkapa stadium Dar es Salaam kuna misikiti jirani na viwanja hivyo.

Tutafute pia utaratibu kunapokuwa na shughuli za kijamii kama fiesta, mechi ya mpira, gwaride la maadhimisho n.k tuwe tunasitisha kinachoendelea mara tusikiapo adhana.

Na pia ikiwezekena waliopo uwanjani wakimbie kidogo kwenda msikitini kutekeleza imani / ibada na kurudi tena uwanjani kuendelea na shughuli inayoendelea.

Na wale wasio wa imani hii ya Kiislamu wawe na moyo wa subra, wasubiri mpaka wenzao watakaporudi uwanjani ili kwa ajili ya mshikamano wa utaifa, pamoja bila kujali imani zetu nyingi kama waTanzania kuendelea na shughuli iliyowaleta ktk umoja wao uwanjani.
 
Tatizo la hawa wenzetu, "Waislamu", wanapenda sana kuheshimiwa wao na dini.
Lakini, wao ndio wa kwanza kuwaita watu wengine, "makafiri".

Waislamu, acheni unafiki. Na ninyi kuweni na heshima kwa dini za wenzenu.
Kwani kuitwa kafiri au makafiri ni tusi?
Hiyo ni sifa ya yule aliyemkanusha Mungu na mtume wake ndiye anaitwa kafiri kama huna hiyo sifa wewe si kafiri.
 
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.

Cheti hicho kimesainiwa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.

RIP Magufuli!

Pongezi sana kwa Bakwata kwa appreciation na hongera sana Hon. Uhuru - Mtu na Nusu.
 
Back
Top Bottom