Wassalam Wakuu,
Ndugu yetu Gerson Msigwa na timu yake nzima ya kurugenzi ya Habari ya IKULU naona wanashindwa kutoa heshima inayostahili kwa Mama wa Shoka Mh. Rais wa JMT, Mh. SAMIA HASSAN...
KWAHERI HAYATI MAGUFULI (JESHI),KARIBU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN(IRON LADY)
Taifa letu teule lipo katika wakati mgumu sana wamaombolezo na majonzi kwa kuondokewa na mpendwa wetu aliyekuwa rais wa...
HISTORIA YA UTAWALA WA AWAMU YA TANO MWAKA 2015 MPAKA 2020
Utawala wa awamu ya tano ulianza mwaka 2015 mpaka 2020 ukiongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Katika utawala wake Rais huyo...
UPDATES:
Komredi Humphrey Polepole amesema Kamati Kuu ya CCM imeelekeza Mkutano Mkuu wa Chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya Mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki...
Wale wapenda mabadiliko ya kweli tunapaswa kubadili mbinu za kupata yale mabadiliko tunayoyataka.
Tukiongelea uchaguzi wa kila baada ya miaka mitano kama ni ucahguzi wa wananchi tunajidanganya na...
Kwa muonekano wa nje, ikulu ya Dar es Salaam ni nzuri kuliko ya Chamwino, japokuwa ilijengwa kipindi cha ukoloni na teknolojia ilikuwa ndogo.
Je, Tanzania tunafeli wapi?
Ebu angalia ikulu ya...
Nianze uzi huu kwa kumpongeza mzee wetu Ngosha,mtumishi namba moja wa nchi wa nchi ya Tanzania!
Baada ya pongezi kwa Ngosha nichukue fursa hii kwa kumpa Heko kwani kadri anavyozidi kukaa Ikulu...
ASKOFU MWINGIRA: TUNDU LISU NI MSHINDI
Na, Robert Heriel
Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba...
Hatimaye wakuu wa EA wamepata chanjo ya kujikinga na gonjwa hatari la Corona, isipokuwa Rais wetu Mama Samia.
My Take
Uzi hauhitaji hoja yeyote,ni taarifa tu
Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa.
Huu ni zaidi ya ufisadi...
Nawasalimu, amani iwe juu yenu wanajukwaa!
Naapa kwa aliyeumba, huyu ataenda kuwa Rais ambaye atavunja historia tangu nchi hii ipate uhuru watu wataishi katika Chuki na visasi vya hapa na pale...
Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli.
Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa.
Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika...
Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya:
Ujumbe kwa TISS: Kila mtu ana saikolojia yake.
1. Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA
2. Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine...
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Francis Mbatia anasikitika kutangaza kifo cha makamu mwenyekiti mstaafu Tanzania Bara ndugu Rakia Abubakar Hassan kilichotokea siku ya...
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wametembelea mpaka wa Tanzania na Msumbiji kwa lengo la kuhakikisha mpaka huo na wananchi wa maeneo hayo wako salama, hatua hiyo imekuja baada ya kusemekana...
Hakuna ubishi Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe.
Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka...
Ndugu zangu bado tupo katika majonzi makubwa kama taifa ya kumpoteza kiongozi mkuu.
Yote juu ya yote Mungu atatusimamia nalo litapita.
Nachotaka kusema hapa ni huu utaratibu wa katiba kumtambua...