Taarifa kwa Umma: Humphrey Polepole kufanya mkutano na waandishi wa habari saa nane leo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,235
4,765
UPDATES:

Komredi Humphrey Polepole amesema Kamati Kuu ya CCM imeelekeza Mkutano Mkuu wa Chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya Mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki.


Mheshimiwa Rais Mama Samia tayari ameshawasili Lumumba kuhudhuria kikao hicho


Ni baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kitakachoketi kuanzia saa nane mchana leo

Mkutano utafanyika ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es salaam.
 
Ni baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi mapema leo

Mkutano utafanyika ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es salaam kuanzia saa nane mchana
Hivi haya mambo ya kumpata makamu wa Rais hayawezi kufanyika baada ya kumpumzisha jemadari wetu alotangulia mbele ya haki ? Maana naona yanahamisha attention...
 
Back
Top Bottom