Fatma Karume atoa ujumbe huu kwa TISS

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,987
144,319
Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya:

Ujumbe kwa TISS: Kila mtu ana saikolojia yake.
1. Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA
2. Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine wanaFIGHT
3. Sio kila mtu anaOGOPA kufa. Kuna wengine wanajiuwa wenyewe.
4. Sio kila mtu ana AKILI kama zako.
5. Madhehebu yote yameanzishwa na mtu1

Ujumbe wake mwingine ni huu:

Nilivyoweka somo la PGO jana wengi wameuliza “Nani atayemfunga paka kengele?” Kwenye DEMOKRASIA lazima kuwe na TUME HURU YA KUCHUNGUZA MAOVU YA POLISI. Na pia Rais hana MAMLAKA ya kufukuza au kupandisha vyeo Polisi isipokuwa IGP na kwa RIDHAA ya TUME na BUNGE. MIFUMO ni DHAIFU

Amefafanua hivi akimjibu mchangia mmoja:

Polisi hafukuzwi kwa AMRI. Anapitia DISCIPLINARY PROCEDURE.
 
Msaada namba 5 hapo.
 
Hakuna jipya kwenye huo ujumbe! Kila binadamu ambaye sio kichaa anafahamu hayo aliyoyaandika!

Haya ni mambo ambayo yapo kutokana na mazingira ya kibinadamu!

Ni sawa na mtu aseme binadamu anapozaliwa lazima awe wa kike au wakiume halafu eti adai huo ni ujumbe ili kuielimisha jamii!

By the way, siku hizi umesusa kutuletea mabandiko ya Mange Kimambi? What happened?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya:

Ujumbe kwa TISS: kila mtu ana saikolojia yake.
1.Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA
2.Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine wanaFIGHT
3.Sio kila mtu anaOGOPA kufa. Kuna wengine wanajiuwa wenyewe.
4.Sio kila mtu ana AKILI kama zako.
5.Madhehebu yote yameanzishwa na mtu1

Bigup Mh.F.Karume.Huwa msema kweli,ndiyo maana guilty are afraid of your talks. Salute.
Tusaidieni Watanzania wenzenu kwa kufungua mashauri ya kisheria mahakamani kuhusu madai ya Katiba ya Wananchi,Tume Huru ya Uchaguzi ili mtukomboe toka makucha ya mkoloni mweusi,katili na mtesi wa wananchi wenzake.

Tumieni elimu yenu na majukwaa ya kisheria ikiwezekana.Watu wetu wanaangamizwa kwa kunyimwa elimu halisi ya uraia na haki zao za msingi makusudi.

Naamini wapo watakaowaunga mkono.Tumechoka na hatutaki watuite wanyonge tena,hiyo siyo sifa Bali dhihaka.
 
Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya:

Ujumbe kwa TISS: Kila mtu ana saikolojia yake.
1. Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA
2. Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine wanaFIGHT
3. Sio kila mtu anaOGOPA kufa. Kuna wengine wanajiuwa wenyewe.
4. Sio kila mtu ana AKILI kama zako.
5. Madhehebu yote yameanzishwa na mtu1

Ujumbe wake mwingine ni huu:

Nilivyoweka somo la PGO jana wengi wameuliza “Nani atayemfunga paka kengele?” Kwenye DEMOKRASIA lazim kuwe na TUME HURU YA KUCHUNGUZA MAOVU YA POLISI. Na pia RAIS hana MAMLAKA ya kufukuza au kupandisha vyeo Polisi isipokuwa IGP na kwa RIDHAA ya TUME na BUNGE. MIFUMO ni DHAIFU

Amefafanua hivi akimjibu mchangia mmoja:

Polisi hafukuzwi kwa AMRI. Anapitia DISCIPLINARY PROCEDURE.
Shangazi got nothing special but what am aware of she is troublesome and she is the daughter of the former President of Zanzibar and the Grand daughter of the Late Mzee Karume (First President of Zanzibar) nothing else from her.
 
Uhuru wa mwanzo na wa msingi kabisa kwa binadamu ni ule wa mawazo na utumwa mbaya kabisa ni wa fikra.
Wengi wa wachangiaji hawana fikra huru na huwa wakali kweli.
Ustaarabu ni kutumia nguvu ya hoja badala ya kupambana kama mbwa anayemlinda bwana wake.
 
Tokea huyo fatuma aliposimama mahakamani na kusoma kifungu cha sheria kilichofutwa,nimedharau sana
 
Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya:

Ujumbe kwa TISS: Kila mtu ana saikolojia yake.
1. Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA
2. Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine wanaFIGHT
3. Sio kila mtu anaOGOPA kufa. Kuna wengine wanajiuwa wenyewe.
4. Sio kila mtu ana AKILI kama zako.
5. Madhehebu yote yameanzishwa na mtu1

Ujumbe wake mwingine ni huu:

Nilivyoweka somo la PGO jana wengi wameuliza “Nani atayemfunga paka kengele?” Kwenye DEMOKRASIA lazima kuwe na TUME HURU YA KUCHUNGUZA MAOVU YA POLISI. Na pia Rais hana MAMLAKA ya kufukuza au kupandisha vyeo Polisi isipokuwa IGP na kwa RIDHAA ya TUME na BUNGE. MIFUMO ni DHAIFU

Amefafanua hivi akimjibu mchangia mmoja:

Polisi hafukuzwi kwa AMRI. Anapitia DISCIPLINARY PROCEDURE.
Good thinking
 
Back
Top Bottom