Freeman Mbowe: Balozi zetu ni fedheha kwa taifa, tunajaza watu wa usalama wa taifa badala ya Wataalam wa Uchumi

Kuna shida gani wakipelekwa majasusi? Ubalozi huwa na maofisa wa taaluma tofauti tofauti, hao ndiyo watamshauri balozi.
Hao watu wa usalama wa taifa asitaka kuwa pre empty anachotakiwa kufanya ni kuwashauri kwamba kwa kutumia nafasi zao kijasusi wakaiwakilishe vizuri nchi kwa kwenda kuibua fursa zitakazoinufaisha nchi. Si sawa kuoinga kila kitu wakati mwingine tujijengee tabia ya kushauri.
 
Tatizo la kukosa "vetting" badala yake vyeo vinagawiwa kikada tu badala ya kuwa sehemu muhimu ya kimkakati. Ofisi za umma zinageuzwa kuwa sehemu za kugawana zawadi, ili kulipa fadhila, badala kuwa sehemu nyeti zenye kiu ya kutafuta fursa za kibiashara na kiuchumi duniani kote.
 
Tuna peleka waende kuchunguza, wanaotumiwa na mataifa ya nje.
 
Mtag Yeriko Nyerere atupe ufafanuzi kuhusu ujasusi wa kiuchumi
Kuna shida gani wakipelekwa majasusi? Ubalozi huwa na maofisa wa taaluma tofauti tofauti, hao ndiyo watamshauri balozi.
Hao watu wa usalama wa taifa asitaka kuwa pre empty anachotakiwa kufanya ni kuwashauri kwamba kwa kutumia nafasi zao kijasusi wakaiwakilishe vizuri nchi kwa kwenda kuibua fursa zitakazoinufaisha nchi. Si sawa kuoinga kila kitu wakati mwingine tujijengee tabia ya kushauri.
 
Kuna shida gani wakipelekwa majasusi? Ubalozi huwa na maofisa wa taaluma tofauti tofauti, hao ndiyo watamshauri balozi.
Hao watu wa usalama wa taifa asitaka kuwa pre empty anachotakiwa kufanya ni kuwashauri kwamba kwa kutumia nafasi zao kijasusi wakaiwakilishe vizuri nchi kwa kwenda kuibua fursa zitakazoinufaisha nchi. Si sawa kuoinga kila kitu wakati mwingine tujijengee tabia ya kushauri.
Wakomunisti walikuwa wakijaza mashushu kwenye balozi zao wakati USA na West walikuwa wakipeleka wataalam. Nadhani unajua hali ya uchumi wa nchi za kikomunisti na West zilivyokuwa wakati huo na hata sasa. Hata Putin huu ujinga ameacha
 
very very good point! unampeleka 'jasusi uchwara' UK ile akagundue nini? akawalishe polonium wakosoaji wa JPM waliokimbilia huko?
Ni nchi gani kwa mfano ambayo haitumii majasusi kwenye balozi zake na ambayo haina military attache?
Nadhani cha msingi kuwa hao majasusi wanaopelekwa wawe na weledi wa mambo ya uchumi kumpeleka mchumi asiye jasusi ni kazi bure kwani kuna ujasusi wa kiuchumi na kama hana abc za Industrial espionage, economic espionage, corporate spying or corporate espionage atakuwa anan`gaa macho tu huko wachina wametumia njia hiyo hiyo na kuiba tekinolojia mbalimbali na kupeleka kwao
 
Kuwa usalama wa taifa haimaanishi kuwa huna uelewa wa masuala ya uchumi. Kitu asichojua Mbowe ni kuwa usalama wa taifa huwa wana taaluma zaidi ya moja.
 
Back
Top Bottom