Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo aongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa na kukagua mpaka wa Tanzania na Msumbiji

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wametembelea mpaka wa Tanzania na Msumbiji kwa lengo la kuhakikisha mpaka huo na wananchi wa maeneo hayo wako salama, hatua hiyo imekuja baada ya kusemekana nchini Msumbiji kunavitendo vinavyoashilia Ugaidi vinaendelea nchini humo.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini CDF, General Venance Salvatory Mabeyo, huku akisisitiza kuwa kwa sasa mpaka uko salama na wakazi wa maeneo hayo wanatakiwa kuendelea na majukum yao ya kila siku.

Aidha kwa upande wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amesema hali ya nchi kwa sasa ni salama na amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama ili kuendelea kudumisha amani na usalama nchini.
 
Kamati ya ulinzi na usalama taifa ikiongozwa na mwenyekiti wake General Mabeho ( CDF( imefanya ukaguzi katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji.

IGP Sirro amesema ukaguzi huo ni pamoja na kuzungumza na wananchi waishio katika mpaka huo kupata uzoefu wao kwa wanavyoishi na yale wanayoyaona huko mpakani.

Source ITV habari!
 
View attachment 1237488
Safi sana waende na ziwa nyasa kwa Malawi na Tanzania tuone what will happen
 
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wametembelea mpaka wa Tanzania na Msumbiji kwa lengo la kuhakikisha mpaka huo na wananchi wa maeneo hayo wako salama, hatua hiyo imekuja baada ya kusemekana nchini Msumbiji kunavitendo vinavyoashilia Ugaidi vinaendelea nchini humo.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini CDF, General Venance Salvatory Mabeyo, huku akisisitiza kuwa kwa sasa mpaka uko salama na wakazi wa maeneo hayo wanatakiwa kuendelea na majukum yao ya kila siku.

Aidha kwa upande wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amesema hali ya nchi kwa sasa ni salama na amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama ili kuendelea kudumisha amani na usalama nchini.
View attachment 1237488
Hakuna Cheo kinachoitwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama
CDF ni Chief of defense Forces,Mkuu wa Majeshi
Tukisema Majeshi tuna Maana Kamandi tatu za JWTZ na National service,JKT,Navy, Air force na Ardhini
CDF sio Mkuu wa Polisi wala Magereza wala uhamiaji ama Zimamoto achilia Mbali TISS
 
Kamati ya ulinzi na usalama taifa ikiongozwa na mwenyekiti wake General Mabeho ( CDF( imefanya ukaguzi katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji.

IGP Sirro amesema ukaguzi huo ni pamoja na kuzungumza na wananchi waishio katika mpaka huo kupata uzoefu wao kwa wanavyoishi na yale wanayoyaona huko mpakani.

Source ITV habari!
Mwenyekiti wa hiyo Kamati ni CP Diwani Athumani FYI
 
God forbid.

Kuna eneo kubwa la msumbiji tayari limetekwa na ISIS ambao wanawavutia vijana wengi wa Tanzania na Zanzibar kwa mafunzo ya ugaidi. Hii ni hatari kubwa sana kwa usalama wa nchi yetu.

Badala ya kulinda mpaka pekee, inabidi Msumbiji isaidiwe kwa kupeleka vikosi vya kusaidia kuangamiza hilo kundi la kigaidi linaloendelea kukua kwa kasi.

Mbinu za kulinda mpaka zilitumika na Kenya dhidi ya Al-Shabaab ikashindikana. Tusikubali hili kundi likue na kuanza mashambulizi. Tutajuta.
 
Kuna maswali mengi kuliko majibu kuhusiana na hilo kundi
 
Hakuna Cheo kinachoitwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama
CDF ni Chief of defense Forces,Mkuu wa Majeshi
Tukisema Majeshi tuna Maana Kamandi tatu za JWTZ na National service,JKT,Navy, Air force na Ardhini
CDF sio Mkuu wa Polisi wala Magereza wala uhamiaji ama Zimamoto achilia Mbali TISS
I doubt haya maelezo, kwa kuwa uelewa wangu unaonyesha kuwa ukiachilia JWTZ kama active force nyakati za amani, hao wengine wote uliowaweka humu ni reservists - jeshi la akiba - ambapo wakati wa vita wote hurudishwa chini ya command chain ya JWTZ. Sasa je ikifikia hapo utasema nani ni commander mkuu? Officially wote wanatambulika na wana ranks zao za kijeshi ikifikia hatua hiyo.
 
Na hii tuliishuhudia wakati wa vita vya Kagera mwishoni mwa miaka ya 70. Polisi, Magereza, Mgambo wakati ule, JKT, JKU wote walikwenda front
 
Viapo vya wajeshi huwa tofauti na wengine. Hata akifiwa na nani kama kuna vita atasonga mbele. Acha kupotosha umma mkuu
Viapo vyote sawa hakuna tofauti katika majeshi nikuilinda na kusimamia katiba ya jamhuri
 
Back
Top Bottom