Ni kweli. Lakini pia mwenda zake hana utakatifu wowote . Niko tayari kukosolewa . Mtakatifu hawezi kuwa na upendeleo , huongozwa na haki .Hayo ni masuala ya kidini na kidhehebu mkuu , yanatofautiana Kati ya dhehebu na dhehebu , mfano Sisi wasabato hatuwez ita mtu mtakatifu hata sku moja hata awe nani.....Ila Kwa wakatoliki nafkri Wana viwango vyao vya kuita mtakatifu , eg mtakatifu Papa, mtakatifu Nyerere n.k ......
Nchi hii tu imejaa wapumbavu wengi Kama hao. Magufuli amekufa kwa mazambi yake mengi kama kuwaua akina Ben Saanane na Azory Gwanda, kumjeruhi Tundu Lissu na kuiba uchaguzi wa Oktoba 2020Ilitokea jana Chato. Naomba wachangiaji wawe wa kanisa la Roman Catholic tu kwani hawa ndio wajuzi wa haya mambo.
Wengine tukae kimya ili uzi usifutwe na moderators.View attachment 1735888
Jawabu MuruaSasa hayo yalikuwa maoni binafsi ya mtu mmoja/wachache/wengi, kun shida gani mtu/watu wakitoa maoni Yao binasfi juu ya Hayat Magufuli?
Kipi cha kujadili hapa sasa?
Labda km maoni hayo yangekuwa yametolewa na dini/dhehebu lake au chama chake, ndio tungejadili.
Kila mtu akitoa maoni take binafsi lazima tuyajadili humu???
Mataga Mataga nakuita tena kwa mara ya tatu,Mataga,nani aliekuroga?Warumi 3:24
wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu;
Wito wa mkristo soma hapo chini
Waefeso 1:4
kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo.
Hata wewe ni Mtakatifu
Hiyo ilikua mizombie yake,hata Lucifer wafuasi wake wanamwita mtakatifuIlitokea jana Chato. Naomba wachangiaji wawe wa kanisa la Roman Catholic tu kwani hawa ndio wajuzi wa haya mambo.
Wengine tukae kimya
View attachment 1735888
Mie nime qoute bible verse. Kuna yangu niliyo andika hapo ? Nimeweka kile ambacho bible imesema.Mataga Mataga nakuita tena kwa mara ya tatu,Mataga,nani aliekuroga?