Habari za jioni wakuu!
Wazo hili ni langu binafsi la kumuelekeza ndugu Tundu kuwa wote huwa tunajikwaa na hatuna budi kuomba misamaha.
Tukumbuke kuwa hapa siongelei ugonjwa wake bali naongelea...
Dr Bashiru ameacha funzo kubwa sana huko machame yaani kuomba msamaha pale upande wa pili unapokwazika na kauli za vijana wa CCM hata kama zilitafsiriwa ndivyo sivyo.
Tumeshuhudia matusi mazito...
Nilifurahi kumuona mheshimiwa Rais akitoa uamuzi wa haraka haraka kwa mkurugenzi aliyepata hati chafu kwenye ripoti ya CAG.
Lakini tunatambua kuwa kuna madudu ya ajabu yaliyofanyika ndani ya...
Mamlaka ya Bandari Tanzania, imekamata Kg 6.2 (zaidi ya ounce 218)za dhahabu yenye thamani ya Sh500m katika bandari ya Dar ambayo ilikuwa ikisafirishwa kwenda Zanzibar.
Source:Mwananchi online...
Akiongea kwa hisia mh Bashe ameipongeza serikali kwa ujasiri(boldness) katika kuanzisha mchakato muhimu wa kuhakikisha madini yetu yanatunufaisha.
Ameasa kuwa hii ni sawasawa na vita vya Kagera...
Rais Mama Samia,nakuomba ujaribu kutumia wanajeshi kwenye utumishi wa umma,utafanikiwa sana,hasa kwenye roho ya uchumi wa nchi bandari zote.
Wanajeshi wameonyesha ufanisi sana,mfano ni taasisi ya...
Mjadala wa ripoti tajwa unashika kasi na kila mmoja akivutia upande wake.....
Jicho la ndege Kipanga huwa linachungulia umbali mrefu sana (kwa mujibu wa wataalamu wa utalii wa wanyama)
Basi leo...
Katika mchakato wa kupata Rais wa JMT, katiba inaelekeza kuwa ni lazima kuwe na mgombea mwenza ambaye Rais akishinda uchaguzi then mgombea mwenza huyo anakuwa Makamu wa Rais.
Nikiri kuwa sikuwahi...
Toka awamu ya Kikwete nimekuwa nasikia watu wakisema kuwa kiongozi fulani anakwamishwa na washauri wake, mara washauri wanampotosha rais. Hivi hii ni sababu ya msingi kuisema kwa watu Rais...
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iwape nafasi ya watu kujitetea, mashirikia na taasisi zinazokabiliana na tuhuma mbalimbali...
Tukienda moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi,
Baada ya Magufuli kufanya anachofanya kumekua na dhana imeibuliwa na wanaukawa wengi tena wachambuzi maarufu kabisa humu jamvini wakisema Mr rais...
Asilimia 80% ya hotuba za Rais John Pombe Magufuli huzungumzia jinsi tulivyo katika vita ya kiuchumi. Lakini mpaka anamaliza awamu yake ya kwanza, hajawai kutueleza hii vita tunapigana na Taifa...
Hello Media na Timu ya Mazishi ya Taifa,
Ni kweli tumekuwa na sku 21 za maombolezo lakini ukisikiliza media nyingi hazina mpangilio na mtiririko ambao unatoa elimu au hamasa ya nini alifanya na...
Awali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu.
Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya...
Wazanzibari msijidanganye kuwa eti mtachagua Rais. Bara tunafahamu kuna baadhi ya Wanzanzibar wanaogombea nafasi hiyo wanataka waje kutumika na Maarabu. Hatutaruhusu hilo.
Hussein Mwinyi ndiye...
Mbali ya salam za pole alizotoa kwa hisia na hekima kubwa, kashauri wale wote waliokamatwa kwa sheria makosa mtandao taarifa ugonjwa waachiwe kwa kujenga umoja wa taifa kwani walikuwa na haki...
Polisi wamepiga marufuku shughuli za kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo katika viwanja vya Furahisha ama Ofisi za kanda CHADEMA kwa madai ya Kuwapo Kipindupindu...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema wanampongeza Rais Magufuli, kwa harakati
zake za kutekeleza ilani ya Chadema na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya Wananchi
UKAWA. Amesema madudu...
Kwa siasa za sasa ni dhahiri tunahitaji Katibu Mkuu anayekijua Chama from the scratch. Aliyekulia ndani ya Chama na aliyepikwa ndani ya Chama. Tumeona madhara ya kuchukua watu juu kwa juu.
Ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.