Kanusho: Ofisi ya Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe ipo Boma Ng’ombe na ilijengwa na Mbunge huyo na haipo kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa

Huu ni Mwonekano wa ndani wa Ofisi ya kisasa ya Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa (CHADEMA) Taifa Mhe.Freeman Mbowe.
IMG-20190114-WA0061.jpg
IMG-20190114-WA0060.jpg
 
Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa
Yaache ma ccm yajifariji,mafisadi wakubwa!sasa hivi wanamtetea spika ili asiulize serikali hesabu za 1.5tr hesabu za Atcl na Tanroads na kujenga hoja eti bunge siyo dhaifu
 
Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa
Asante kwa hiyo clarification; inasaidia kushusha mzuka wa wakurupukaji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari iliyotolewa ni kuwa Mh Mbowe hakuwa ameitumia ile ofisi tangia 2010 mpaka leo..! Sasa labda hakukabidhi kwa wahusika na haikuwa kufunguliwa labda sasa hili kanusho sijui atatuambia huyo katibu kuwa ofisi hii yasasa anaitumia tangia 2009 au vipi...!
 
Sasa unakanusha nini nawe unaambiwa ile tangu 2010 hajagusa!

"Amesema amepata taarifa pia tangu Mbowe achaguliwe mwaka 2010 hajawahi kuingia tena katika ofisi hiyo kusikiliza kero za wananchi.

"Sijui yupo wapi ila namsikia huko maeneo mengine akifanya vurugu sasa ofisi hii itatumika kusaidia wananchi," amesema.
 
title ya uzi haiko sawa. Hakuna aliyesema ofisi iko kwenye Majengo ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa bali mkuu wa wilaya (DC) wa hai. Tuliza boli
 
Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa

Huu ni Mwonekano wa ndani wa Ofisi ya kisasa ya Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa (CHADEMA) Taifa Mhe.Freeman Mbowe.
View attachment 994438View attachment 994440
Dah jamaa wewe liongo kwelikweli. Mkuu wa Wilaya ndiyo kachukua ofisi, wewe unaleta eti mkuu wa mkoa, pole sana kikamanda. Vipi mh. mbona siku hizi kimya yupo wapi?
 
Back
Top Bottom