Tangia alipo ukwaa ukuu wa Nchi, mtukufu huyu amefanya siasa za nchi hii kuwa "the living hell". Democrasia iko mashakani na upinzani nchini Tanzania uko kwenye hali ngumu kuliko nyakati zozote katika historia ya vyama vingi nchini.
Utawala wa sheria: Utawala wa sheria (Rule of Law) umekuwa defective na wanasiasa wamekuwa juu ya sheria kwa kutoa matamko tata na batili yenye kuvunja sheria ikiwemo katiba ya Nchi. watu wana achishwa kazi bila hata kupewa nafasi ya kusikilizwa (Right to be heard) na kwa midadi ya kisiasa unauliza hadhira "eti nitumbue au nisitumbue"- na kwa kuwa huoni mbali unatumbua kweli!-wapambe wako wa kisiasa wanancheka na kukupongeza huku familia za wahanga wakilia.....
Mgawanyo wa madaraka: katiba ya JMT inatoa mgawanyo wa madaraka kwa mihimili mikuu ya serikali na kila mhimili uwe independent na usiingiliwe katika utendaji kazi. Lakini leo hii, Rais anaingilia kazi za mahakama na huku akipenda awe mlalamikaji, mwendesha mashitaka na hakimu/judge at the same time...
Ushauri
Ewe mtukufu kumbuka kuwa cheo cha Urais kina ukomo/mwisho. Siasa siyo uadui bali ni fani/carrier inayowapa watu fursa ya kuitumikia jamii. kuna leo na kesho na kesho yake henda ikawa mbaya....who knows! kuwakamata wapinzani hakujengi bali ni kubomoa misingi ya amani na mshikamano katika jamii yetu. (I guess you have a family too...waepushe na kisasi cha hawa unaowasulubu leo)...
Prof