Sifa za mwendazake na hali halisi..

Sifa za mwendazake na hali halisi..

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,675
Tumeambiwa Mwendazake alifanikiwa kufuta ufisadi serikalini na nidham ya kazi akarudisha..Leo mmoja wa wateuliwa wake DG wa TPA katimuliwa Kwa upotevu wa bilioni zaidi ya 3...

Halafu tukaambiwa alifufua shirika la ndege

Leo tunaambiwa shirika la ndege linaleta hasara ya bilioni 60 kila mwaka
Kwa ufupi halijawahi kuleta faida...

Mimi kama sielewi ...
Au zile sifa zote na kilichopo vinaendana?
 
Mkuu JPM ni binadam kama tulivyo mimi na ww. Ikiwa binadam tulioumbwa na Mungu tunafanya machafu na kukwamisha yale yote anayoyataka Mungu tuyafanye, vipi tutashindwa kukwamisha yale aliyoyataka binadam mwenzetu hayati JPM. Kumbuka kwamba hata malaika walimuasi Mungu wakawa mashetan sasa sijui unashangaa nini baadhi ya watu kuiasi serikali na kukwamisha juhudi za JPM
 
Ile upigaji wa Awamu ya Nne ilikuwa zile fedha zilikuwa zinafika mpaka huku Kitaa

Zama za Magufuli upigaji ulikuwa wanapiga halafu zinaliwa juu kwa juu huku jamaa wakisisitiza kuwa tupige kazi!
Au siyo kigogo [emoji1]
 
Watu walijua marehemu ni mpenda sifa hapakuwa na namna hata wewe lazima ungesifia kulinda kitumbua chako
Tumeambiwa Mwendazake alifanikiwa kufuta ufisadi serikalini na nidham ya kazi akarudisha..Leo mmoja wa wateuliwa wake DG wa TPA katimuliwa Kwa upotevu wa bilioni zaidi ya 3...

Halafu tukaambiwa alifufua shirika la ndege

Leo tunaambiwa shirika la ndege linaleta hasara ya bilioni 60 kila mwaka
Kwa ufupi halijawahi kuleta faida...

Mimi kama sielewi ...
Au zile sifa zote na kilichopo vinaendana?
Mwendazake iko jambazi kabisa
 
Mkuu umesahau kuwa hata ukitaka Mungu awe karibu na wewe lazima uhakikishe uimbaji mzuri wa pambio na tenzi za rohoni ukimaanisha?
Kama leo nina uhakika CAG alikuwa na ripoti mbili moja OG nyingine Fake. Leo ndio nimejua magufuli alikuwa fiasdi to the maximum japo siku zote hizo nilikuwa najua
 
Tumeambiwa Mwendazake alifanikiwa kufuta ufisadi serikalini na nidham ya kazi akarudisha..Leo mmoja wa wateuliwa wake DG wa TPA katimuliwa Kwa upotevu wa bilioni zaidi ya 3...

Halafu tukaambiwa alifufua shirika la ndege

Leo tunaambiwa shirika la ndege linaleta hasara ya bilioni 60 kila mwaka
Kwa ufupi halijawahi kuleta faida...

Mimi kama sielewi ...
Au zile sifa zote na kilichopo vinaendana?

Kamanda angekuwa alifanikiwa kuufuta ufisadi kabisa asingelikuwa ana litumbua kila siku .....

Lazima tukubali alikuwa ana pambana kweli kweli bila kujidicha....

Hivi ulisoma report ya mwaka jana kuhusu ATCL ? ATCL haijaanza kupata hasara mwaka huu nasitegemei ianze kupata faida ndani ya miaka kumi ijayo hiyo itakuwa ni kujidanganya!

Shida mnasahau kuwa hata mwaka jana CAG alisema hivi hivi kuhusu ATCL.

Mtu mwenye utimu wa akili hata anayejua hesabu za kutoa na kujumlisha awezi kutegemea shirika hili kuanza kupata faida ndani ya miaka kumi basi hayo yatakuwa maajabu


Nimefurahi kila leo CCM inaendelea kuaminiwa
 
Tumeambiwa Mwendazake alifanikiwa kufuta ufisadi serikalini na nidham ya kazi akarudisha..Leo mmoja wa wateuliwa wake DG wa TPA katimuliwa Kwa upotevu wa bilioni zaidi ya 3...

Halafu tukaambiwa alifufua shirika la ndege

Leo tunaambiwa shirika la ndege linaleta hasara ya bilioni 60 kila mwaka
Kwa ufupi halijawahi kuleta faida...

Mimi kama sielewi ...
Au zile sifa zote na kilichopo vinaendana?
Mambo yanaumana mkuu...

Hasi na chanya zitajulikana tu nyingine.. View attachment 1736659
IMG_20210328_114628_485.jpg
 
Back
Top Bottom