Rais Samia Suluhu: Kuna umuhimu wa kuangalia upya Sheria zinazowalinda mashahidi na watoa taarifa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
82,000
2,000
Haya ndio maneno ya Rais mpya wa Tanzania aliyoyatoa wakati akipokea Ripoti ya CAG .

Hii ni nuru mpya kwa sisi wafichua maovu.

Rais Samia Suluhu amesema haya.

''Kuna umuhimu wa kuangalia upya Sheria zinazowalinda mashahidi pamoja na watoa taarifa. Wakati mwingine watu wanakataa kwenda kutoa ushahidi kwa sababu akitoa tu tayari anajulikana, kesi inaanza upya nje kwa visasi na kuwindana''
 

Mshughulishaji

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
988
1,000
Najua kuna mapungufu na ni ubinadamu, lakin i inapotumika nguvu kubwa kuficha mapungufu ndo wasiwasi unapoanzia...
Haya niambie, wale waliokamatwa kwa "KUZUSHA" kuwa rais anaumwa, watafanywa nini?
Tuko pamoja mkuu, bora hebu tumpe muda Mama na kukosoa pale ambapo tunaona kaenda kombo, halafu tumpongeze pia pale anapofanya zuri au mema.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom