Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu vijana wangu na wanaccm tuache unafki na ubishi usiokuwa na sababu. Hivi anayoyasema mwenyekiti Heri James kuna kipi kipya hapo? Tunabisha kitu gani kama kweli tunataka kulijenga taifa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan una kila nafasi ya kuunda upya CCM yenye heshima na kuachana na wale wahuni wanafiki waliojaa kiburi majivuno na dharau. Uamuzi wa kukumbukwa na historia uko mikononi...
1 Reactions
3 Replies
976 Views
Poleni na majukumu yote hapo wizarani. Sina mengi sana ya kuandika ila ninao ushauri tu. Nao ni, Ninawashauri msitishe kuandaa rasilimali watu ya mafuta na gesi kwa sababu tayari wasomi wa kozi...
0 Reactions
5 Replies
973 Views
Kwako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kikwete, serikali yako kwa kipindi kirefu sasa imekuwa ni serikali ya kibabe, kidhalimu na kikandamizaji. Damu nyingi imeshamwagika tangu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hakika inawezekana Mama Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan aliishi katika Umakamu wa Rais pasipo kuheshimiwa na walio chini yake! Hawa watu leo wanajisiakiaje. Twende hivyo hivyo. Nimepeni...
5 Reactions
56 Replies
6K Views
Namnukuu Mwalimu wangu na kielelezo changu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. George Kahangwa kama alivyoandika katika ukuta wake wa Facebook. "Katika kuomboleza na kutafakari, tunagundua...
1 Reactions
2 Replies
801 Views
Ratiba ya mkutano wa tatu (3) wa Bunge la 12 kuanza kesho je tutegemee jina la Makamu wa Rais kesho? Ratiba ya kikao cha kesho Machi 30, 2021 i) Taarifa ya Spika (ii) Maswali (iii) Azimio la...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Is this really real or my mind is playing tricks on me? Everyone involved in this phuckery got to go.
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Tokea jana baada ya Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kupokea taarifa ya CAG na kutoa maagizo kadhaa, ikiwemo lile la kumsimamisha kazi DG wa TPA bwana Kakoko, vijana wengi wa Upinzani pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
757 Views
Nafasi za Mpambe wa Hayati Magufuli pamoja na Walinzi wake unatakiwa kukoma lini? Au pia na wao wanakuwa na mkataba? Je, kama wana mkataba unakoma baada ya kiongozi wao kukosa uzima wa kuishi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hii ndio taarifa mpya iliyosambazwa na Bavicha kwa vyombo vya habari , ambapo imetajwa kwamba Mkutano huo utafanyika , Kinondoni Mtaa wa Ufipa. Nje kabisa ya Jiji la Dar es Salaam .
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Iko siku watanzania watakukumbuka!! Hatuwezi kubaki na mgogoro kwenye sekta ya korosho miaka nenda rudi na tukatumia mbinu zile zile kukabiliana nao. Ni lazima tuje na mbinu mpya ambazo zitaenda...
12 Reactions
34 Replies
3K Views
Nitakukumbuka daima Mheshimiwa Rais. Nitakukumbuka kwa ujasiri wa kipekee. Nitakukumbuka kwa kutuonesha njia na kutuaminisha kuwa sisi ni watu kama walivyo watu wengine duniani...yaani tuna akili...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais? Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya...
30 Reactions
231 Replies
27K Views
Wasalaamu! Nikiwa kama mzalendo wa kweli wa Kitanzania na tukiacha mbwembwe za kisiasa napenda kuja na waraka wa kipekee kwa maslahi ya umma. Utangulizi Tanzania ni nchi inayokuwa kimaendeleo...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema kuwa Rais wa sasa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameleta tumaini jipya katika nchi yetu wakati bado Taifa likiwa kwenye maombolezo kufuatia kifo...
19 Reactions
140 Replies
11K Views
Habari za jioni wakuu! Wazo hili ni langu binafsi la kumuelekeza ndugu Tundu kuwa wote huwa tunajikwaa na hatuna budi kuomba misamaha. Tukumbuke kuwa hapa siongelei ugonjwa wake bali naongelea...
19 Reactions
172 Replies
13K Views
Dr Bashiru ameacha funzo kubwa sana huko machame yaani kuomba msamaha pale upande wa pili unapokwazika na kauli za vijana wa CCM hata kama zilitafsiriwa ndivyo sivyo. Tumeshuhudia matusi mazito...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Nilifurahi kumuona mheshimiwa Rais akitoa uamuzi wa haraka haraka kwa mkurugenzi aliyepata hati chafu kwenye ripoti ya CAG. Lakini tunatambua kuwa kuna madudu ya ajabu yaliyofanyika ndani ya...
1 Reactions
71 Replies
5K Views
Back
Top Bottom