Nianze kwa kumpongeza Mh Rais Samia kwa jinsi alivyoisuka Wizara ya mambo ya nje kwa mustakabali diplimasia ya taifa letu. Lakini Jana baada ya kutangaza uteuzi wao aliahidi kuwaapisha leo saa 4...
Wengi tunajua kuwa Balozi Bashiru Ally Kakurwa alikuwa kipenzi cha Mwendazake. Alianza naye kwenye ukaguzi wa mali za CCM na baadaye kumteua kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. Na mwishoni, akamteua...
Poleni na Maombolezo
Mungu hadhihakiwi Kitendo kilichofanywa na Serikali ya CCM Cha Kuwaibia Haki Watanzania ya Kuwachagua Wawatakao na kutumia Vyombo vya Dola na TUME ya UCHAGUZI ndio DHAMBI...
Halo JF siasa.
Ktk pitapita zangu nimefika Singida mjini. Kuna jengo refu zaidi ya yote hapo mjini lina ghorofa zaidi sita.
Jengo hili naambiwa ni Mali ya CCM na lilianza kujengwa mwanzoni mwa...
Ni jambo la kushangaza kwa kiongozi kuona kuwa status yake ya kuwahi kuwa masikini ndiyo sifa KUU ya yeye kuwa kiongozi mzuri kwa WANYONGE. Hii ni kauli ya ulaghai kwa umma, hata marehemu...
MATARAJIO YA WATANZANIA KWA MHE SAMIA, RAIS WA JMT NI MAKUBWA
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana Mhe Samia Samia Rais wa JMT amefanya mabadililo madogo kwenye Baraza la Mawaziri yaliyotanguliwa na...
TUSICHEZE NGOMA YA KIGOGO WALA CHADEMA.
Kwa namna yoyote ile tusiingie katika mtego wa dhihaka kwa wanaccm wenzetu,tuamini kila mwanaCCM anastahili kuwa mahali fulani kwa wakati wowote,
Leo...
Hii ndio taarifa mpya kwa wakati huu inayozunguka dunia nzima , kwamba Chadema yenye Makao Makuu yake Kinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam itakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Tarehe...
Tuelewane vizuri hapa, tusilazimishane. Sisi tulioguswa na JPM tutamchagua tena Oktoba 28.
Tutamchagua JPM tena kwakuwa SABABU tunazo, NIA tunayo na UWEZO tunao; #SisiTumeamuaKumchaguaTenaJPM...
Rais, Dk John Magufuli amemuagiza Waziri wa Nishati, Medard Kalemani kuhakikisha ifikapo mwezi wa saba mwaka huu, kiwanda cha ‘Kom Group of Companies’ kitakapoanza kufanya kazi umeme haukatiki...
=== TAARIFA MUHIMU ===
Inatoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu CHAMWINO jijini Dodoma
Inahusu Kiapo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Mawaziri na Manaibu Mawaziri walioteuliwa na Rais Samia jana...
Gazeti la Mwananchi Digital Siku 34 za Dk Bashiru Ikulu, wanasema Balozi Dkt. Bashiru ameondolewa 31 Aprili 2021, jamani editors wa bongo mbona matango mwitu mengi hivi...
Wacha ni switch kwenye lugha aliyopendelea kuitumia Hayati John Joseph.
Kama mjuavyo Magufuli alikwa amekwisha teua wabunge wake ambao aliona wanamfaa. Sasa nauliza je Samia naye anayo nafasi...
Haki, heshima, na utu wa mwanadamu umo katika dhana ya utaratibu, kanuni au utawala wa sheria.
Dhana ya utawala wa sheria ni dhana ambayo siyo tu kwamba umebeba ustaraabu na utu wa mwanadamu bali...
Leo Jumanne, tarehe 30 Machi, 2021, Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi ametoa mapendekezo ya kujenga monument ya kuenzi kazi iliyofanywa na rais Magufuli.
Akichangia hoja...
Hakuna kiongozi wa kisiasa anayemfikia uyu mama Samia suluhu kwa kiingereza.
Nimemsikiliza Leo anaongea kiingereza vizuri sana(grammar nzuri). Kwa sasa hakuna kiongozi wa kisiasa anamfikia huyu...
Tanzania kwa sasa ina serikali mpya ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu baada ya kifo cha Rais Magufuli.
Kwa sasa hatuna sababu nyingine yoyote ya kusubiri kuufahamu utawala wa Samia...
Kama kuna kipindi ambacho Katiba yetu imelivusha taifa letu basi ni kipindi hiki cha kuwapata viongozi wetu wakuu wa awamu ya sita. Katiba yetu hii imepata heshima kubwa duniani kote na kuifanya...