MovingForward
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 489
- 49
Gazeti la Mwananchi Digital Siku 34 za Dk Bashiru Ikulu, wanasema Balozi Dkt. Bashiru ameondolewa 31 Aprili 2021, jamani editors wa bongo mbona matango mwitu mengi hivi!!!!
www.mwananchi.co.tz
Siku 34 za Dk Bashiru Ikulu
Siku 34 za Dk Bashiru Ally Ikulu. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Dk Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi kwa siku 34 tu na unaweza kusema ni wa kwanza kushika wadhifa huo kwa muda mfupi zaidi...